Mbona Kama haijakamilika hiyo Mada
Masoko ya ndani hayako organized lakini kungewekwa mfumo Wa kuyaunganisha haya masoko Tanzania soko la ndani la mazao bado kubwa sana tatizo organisation yake ameachiwa asiehusika na hafanyi effectively.@hili ndilo tatizo,
Soko la mazao ni changamoto nyingine. Wakulima wengi wamekata tamaa baada ya mazao wanayolima kukosa soko. Vyama vya ushikirika vipewe nguvu ya kutafuta masoko kama ilivyokuacenzi za Coffee Curing.
Mahindi hayana soko
Mbaazi hazina soko
Ufuta hauna soko.
Kungekuwa na soko la mazao wengi tungejiajiri kwenye kilimo.
Wengi tungelima mashamba madogomadogo na kwa muunganiko wake tungezalisha kwa wingi.
Mkuu mm napenda kukima sana changamoto ni masoko mkuu..
Ili kuboresha vizuri ni Bora siyo kazI ni kuanzishwa wakala Tu za kusimamia mazao husikaWatanzania wengi wanapaswa kuwa masikini wa kutupwa, hohehahe ( wanyonge ) ili muda wote watawalike kirahisi na wawe na muda wa kuwaabudu watawala.
Ndio Maana Kila Zao Lililoonesha Dalili Za Kutaka Kumkomboa Mkulima, Limepigwa Vita Kali Na Kuuawa Au Kudhoofishwa !
- Kahawa
- Korosho
- Mbaazi
- Mkonge
- Ufuta
Soko la mazao ni changamoto nyingine. Wakulima wengi wamekata tamaa baada ya mazao wanayolima kukosa soko. Vyama vya ushikirika vipewe nguvu ya kutafuta masoko kama ilivyokuacenzi za Tanzania Coffee Curing.
Nikutengeneza Wakala Tu IPO siku tutawaletea story za kilogrammes, Export, imports ya magambuti na spices za samaki mahindi ya njano idadi ya watumishi na project ya mradi Kwa miaka 1000 ili kuhakikisha matumbo yenu hatari dirty foodMazao mengi tunayolima ya soko kubwa Visiwa vya Comoro. Kama nchi tungeweza kuwa supplier mkubwa wa chakula Comoro.
Ili kuboresha vizuri ni Bora siyo kazI ni kuanzishwa wakala Tu za kusimamia mazao husikaUmeamka vizuri leo.
Kilimo kinachangamoto kubwa hamsa.
1. Soko… Utakukuluka kote ila bila soko ni kazi bure. Vyama vya ushirika hakuna, madalali ni kero.
2. Upatikanaji wa zana za kisasa za kilimo (kulima, kupanda, kuvuna)
3. Viwanda vya kuboresha mazao (kuhifadhi, kusindika)
4. Mitaji, mkulima atakopeshwaje?
5. Mbegu bora
Tutawaletea story magari mangapi yanihitaji natengeneza, tuajiri watumishi wangapi, tufungue shamba gani kubwa kulingana na magitaji ya Hali ya hewa, tumezalisha ziada kiasi gani na tuipeleke WAPI, projection ya soko Kwa Kuzalisha zaidi kuliko magitaji ya soko kama vyuo vikuu vinavyozalisha wanafunziShida soko