Tukichagua wenye vitu wa mitaa tuchague wenye uwezo wa kujenga hoja kama hizi na kuzifikisha kwa wabunge. Haya si matatizo ambayo hayatatuliki.Umeamka vizuri leo.
Kilimo kinachangamoto kubwa hamsa.
1. Soko… Utakukuluka kote ila bila soko ni kazi bure. Vyama vya ushirika hakuna, madalali ni kero.
2. Upatikanaji wa zana za kisasa za kilimo (kulima, kupanda, kuvuna)
3. Viwanda vya kuboresha mazao (kuhifadhi, kusindika)
4. Mitaji, mkulima atakopeshwaje?
5. Mbegu bora
Ni Bora wabunge Wana familia la sivyo wangepata tabu Sana kuondoa binti MARINGO ambaye hata vipo siwezi jifunza Kwa wengine TANROAD, TBA, GPSA, ASA wanashangaa vitu vidogo lakini vikubwa barabara, majengo na manunuzi na mbeguTukichagua wenye vitu wa mitaa tuchague wenye uwezo wa kujenga hoja kama hizi na kuzifikisha kwa wabunge. Haya si matatizo ambayo hayatatuliki.
Unaonaje mmoja wetu ajitolee aende akafanye utafiti huko Komoro.Hizi bidhaa zote ulizozitaja zinahitajika sana Comoro. Viongozi wetu wafikirie jinsi ya kufanya taratibu za kidiplomasia kutafuta soko la kudumu na Visiwa hivi.
Nimekutana na Siasa za sangatiti full nyimboSoko la mazao limawezeshwa na
1. Barabara nzuri, kitu ambacho kwa 60% tumefanikiwa Tanzania
2. Mawasiliano, taarifa haziwafikii walengwa kwa katika wakati muafaka.
3. Uwajibikaji, yaani kila anaetoa huduma anategemea chai au 10%
Wapo wafanya biashara wanaosafirisha mazao kwenda Comoro lakini uwezo wao ni mdogo kukidhi soko.Unaonaje mmoja wetu ajitolee aende akafanye utafiti huko Komoro.
Serikali sijui Kama itaridhia kujihusisha na mpango huu, kwani sio kipaumbele chake.
Kweli itakuwa morogoro tulizani Comoro maisha ya kuchoshana haya SUA tatizo UAWapo wafanya biashara wanaosafirisha mazao kwenda Comoro lakini uwezo wao ni mdogo kukidhi soko.
Huu uhuru utakuje wakati kuuza mahindi Kenya tu unahitaji kibali cha serikali.Ili kumkomboa mkulima inabidi mazao yote yatakayozalishwa yawe huru kuuzwa kokote ili mradi mkulima aone faida.sio awekewe vipingamizi hapo tamu ya pesa itaonekana
Mkuu mm napenda kukima sana changamoto ni masoko mkuu..
Huu uhuru utakuje wakati kuuza mahindi Kenya tu unahitaji kibali cha serikali.
Ili kumkomboa mkulima inabidi mazao yote yatakayozalishwa yawe huru kuuzwa kokote ili mradi mkulima aone faida.sio awekewe vipingamizi hapo tamu ya pesa itaonekana
Ni Bora wanawake mnaendelea na condensed system safari mnayo kila kitu ignore kama wazungu check action zake huyu binti labda mnasubiri wawabadiliHuu uhuru utakuje wakati kuuza mahindi Kenya tu unahitaji kibali cha serikali.
Hawafanyi kazi kwa ufahisi that much!Kuwe na ripoti ya mazao kila J3 inayoonyesha bidhaa zipi zinapatikana wapi. Ripoti hiyo irushwe TBC
Una mawazo mazuri sana Madame, Kilimo chetu hakiwezi kusonga mbele bila kuwa na takwimu sahihi za miaka ya nyuma, Hapa ndipo tunafeli kama wizara ya kilimo hata kwa upande wa mifugo wana tatizo hilohilo, sasa sijajua huko wizarani watumishi kazi zao huwa ni zipi hasa..Basi itafutwe njia ya kujua takwimu za mazao ya kila mkoa kwa wiki.