Tuwekeze zaidi kwenye kilimo, tutumie ardhi yetu na izalishe ajira


Maandishi kama haya yanaweza kuponya badala ya kuangamiza
 
Wapo wafanya biashara wanaosafirisha mazao kwenda Comoro lakini uwezo wao ni mdogo kukidhi soko.
Tungewapata hao wafanyabishara wangetuambia hali ikoje ili nasisi tujinge kuongeza uwezo.
 
Restrictions wameweka kwenye mahindi wakati Wakenya wanakuja na malori kununua mananasi Chalinze na chini kabisa kabla ya mananasi wanaweka magunia ya mahindi.
 
Umeongea kitu Safi kabisa mkuu!. Natamani kama wahusika waone ujumbe wako 👏👏
 
Umenena vyema
Mwl alisema kilimo ni uti wa mgongo nimefanikiwa kumuelewa
Watawala wetu wangehamasisha na kussuport wakulima Tz ingekuwa na maendeleo kuzidi
Kilimo cha mazao ya biashara mkonge pamba kahawa korosho mbao chai bado yana uhitaji mkubwa duniani.
Mazao ya chakula yangetukwamua kwenye kuagiza sukari mchele mahindi nk toka nje
Rudisheni vyama vya ushirika

Watawala wateuliwa waliochaguliwa ndio wanaliumiza hili Taifa left right n center
 
Elimu kabla ya kila kitu...!!
Elimu Bora... Teknolojia maridhawa ndo daraja la kututoa hapa tulipo!!
Haya mengine tunajidanganya tu...!!
 
Nashauri Ulichovuta leo uvute kila siku.
 
Juzi tulikuwa mjadala wa kukuza biashara ya mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi.


Canada wamerejesha fursa ya exports ya kitimoto na nyama ya ng'ombe.

Bado soko linadai. Tunajipangaje kulifikia hilu soko kwa pamoja?

Mawaziri wa kisekta tukijumuisha fedha, viwanda, uwekezaji na uchukuzi wana mkakati wowote hata wa kukaa kufukiria how do we get on-board.

Bank ya kilimo na bank ya uwekezaji; fursa hii tunaichungulia kama deal ya kukuza uwekezaji kwenye kusindika nyama???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…