Tuweni makini na hawa wapenzi wa mtandaoni

Maoni unayotoa ni ya aina ya watu niliowataja hapo.

Nakuelewa.
 
Mtaalam ina maana kama ungemuweka bila kupimana na bila mpira ulikuwa unaupata ukimwi, kwa vile umedeclare wewe ni mtaalam wa afya, kila ngono zembe matokeo yake ni kupata ukimwi?
Kwa tafsiri yako na uelewa wako yamkini imeeleweka hivyo ulivyo elewa hata kama haikutakiwa kueleweka hivyo,hivyo ibaki hivvyo kama ulivyoelewa na kutafsiri,kwani kila ngono zembe mtu anaweza kupata maambukizi?
 
cha ajabu hiyo dawa unaweza kuta ipo hapo Gangitoroli tu
 
Maoni unayotoa ni ya aina ya watu niliowataja hapo.

Nakuelewa.
Usiiongelee identify yangu, base kwenye maoni yangu. Kimsingi sijui status yangu, toka nipime 2019 wakati tuna mimba yanlast born wetu, sijapima tena, so fast forward miaka saba sasa, siwezi kuwa certain kwamba nipo + au -.
Ninachoamini, ukimwi ji ugonjwa hatari, ila unakupa mda wa kuishi hasa kama akili itakubaliana na situation. Kuna maradhi(nimeuguza kiasi fulani) yapo so deadly acha kabisa, nina experience ya kuuguza wagojwa wa kansa, moyo na figo. Probably bado huna hizi experience huwezi kuelewa.
 
Kwa tafsiri yako na uelewa wako yamkini imeeleweka hivyo ulivyo elewa hata kama haikutakiwa kueleweka hivyo,hivyo ibaki hivvyo kama ulivyoelewa na kutafsiri,kwani kila ngono zembe mtu anaweza kupata maambukizi?
Nimekuuliza kama mtaalam, badala ya kujibu unapiga vijembe. Basi usingejibrand kama mtaalam wa afya.
 
wachambuzi leo mmeamkaje maana sio kwa uchambuzi huu. Kisa cha kwanza kasema hadi mchaga na watoto wawili tuachane na hayo vipi huko kwenu kuna maji, umeme na barabara nzuri maana kama upo tanganyika na huna hizo changamoto wew sio mtanzania halisi
NDIO MCHAGA,HUYO MCHAGA NI NANI?,NDIO HUYO MUUZA MAYAI JE NI MUUZA MAYAI?,NA MAYAI GANI YA KUKU AU YAI LAKE?
 
Experience ya magonjwa uliyotaja ninayo. Siyo ya kuuguza, ni experience ya kutakiwa kukutana na wagonjwa wa namna hiyo kila siku.

Niliposema watu niliowataja nilimaanisha watu ambao hawakutani na waliofubazwa na UKIMWI. Bahati mbaya umenielewa vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…