tecnohailali
Senior Member
- May 15, 2017
- 168
- 76
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jilani yangu hapa katoka kazini kafika sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia!
Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji ya kunywa alipopewa akayanywa kisha akavua viatu mkewe akamtengea maji ya kuoga baada ya kuoga akajumuika na familia kula Chakula cha usiku.
Asubuhi kaamka kaoga kavaa vizuri kaenda kazini kwa ujumla Yuko vizuri kiafya.