MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 603
Hujaeleza ucku alimfanya nn mkewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bomu lipi mkuu[emoji27]ila hilo bomu aliliandaa si mchezo
Hahaha pamoja mkuuaisee asante kwa kuniongezea siku
Jamani wengine tushapita hukoKbsa maana ndo vistor vyao hiv watoto hawa.shenz kbsa
Ilikua nikazi tu usikuHujaeleza ucku alimfanya nn mkewe
AyaPeleka Chitchat hizi mambo
Kwanini mkuu[emoji23]Utateuliwa ukuu wa mkoa Kilimanjaro
Sory mkuuUmezingua mkuu
Sio wote[emoji35] mbona Mimi situmii Supu ila 24/7 Niko poaHiyo supu ya pweza ni dawa kwa wanaume wa Dar nasikia magari yao yakusukuma
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] pamoja nawe mkuuMkuu mleta mada, umefanya nimecheka sana. Uwe na Jumapili njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, kaivuta wee attention yangu ,mwisho wa siku sijapata nilichofikiria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nilivyokua nasoma kwa makinii!!!
Indian Hemp[emoji19] [emoji19]Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jilani yangu hapa katoka kazini kafika sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia!
Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji ya kunywa alipopewa akayanywa kisha akavua viatu mkewe akamtengea maji ya kuoga baada ya kuoga akajumuika na familia kula Chakula cha usiku.
Asubuhi kaamka kaoga kavaa vizuri kaenda kazini kwa ujumla Yuko vizuri kiafya.
Watoto wasipewe smart phoneform six mnazingua