tecnohailali
Senior Member
- May 15, 2017
- 168
- 76
Kama nakuona ulikua unasoma huku umeshikilia simu ipo kwenye chaji[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nilivyokua nasoma kwa makinii!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]dah mimi nikajua anaharisha sasa[emoji12]
Nilishapita kitambo huko.form six mnazingua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuuNilikuwa mimi
Pamoja mkuuuko vizuri
Hahaha kabisa mkuuKama nakuona ulikua unasoma huku umeshikilia simu ipo kwenye chaji[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ndio ulichokuwa unakitaka hikoMxiouu nlijua ucku amekesha chooni ana hara tuuu
Kbsa maana ndo vistor vyao hiv watoto hawa.shenz kbsaform six mnazingua
shenz type mi nilijua aliarishaJamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jilani yangu hapa katoka kazini kafika sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia!
Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji ya kunywa alipopewa akayanywa kisha akavua viatu mkewe akamtengea maji ya kuoga baada ya kuoga akajumuika na familia kula Chakula cha usiku.
Asubuhi kaamka kaoga kavaa vizuri kaenda kazini kwa ujumla Yuko vizuri kiafya.
Mkuu, Nina swali tafadhali ikiwa hauto jali....Mxiouu nlijua ucku amekesha chooni ana hara tuuu