tecknologia23
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 259
- 382
Kweli sijui nyie ila kunawatu wanajali familia zao .sijamaanisha watoto na mke na maanisha baba na mama maana. Huwezi penda mzazi mmoja , .
Kila siku naandika Hivi mama anazaa Kwa uchungu analea Kwa tabu anasomesha Kwa tabu.
Halafu Kuna mijitu Fulani inaoa/inaolewa inaenda kulipiza fadhila kwenye familia zingine .
Maisha ukitaka baraka tunza mama Yako na baba Ako .
Sio Malaya na familia zingine ambazo hazina msaada kwako wengi wamefulia wakarudi Kwa mama zao kunywa uji wa chumvi .
Wadada wanahonga huku mijini na mama zao ndugu zao wanahali mbayaa silaana tu unatafuta Sasa.
Mtu kwenu hata kibanda hamna ila unagari , simu IPHONE 14 unaenda kuleta mizigo china mama Yako yupo kijijini anashinda na mihogo na akibahatisha chai unashukuru anafanya kila kibarua kwa uzee wake ili apate pesa za kuwalishia wadogo zako.
Mfano akafa Sasa unakuja na watu wakishua na mnajionesha na misimu yenu wewe mpaka msiba unaisha , unaamua kuwachukua ndugu halafu unaanza kuwatesa tesa Kisa unajukumu yakulea ndugu za watu .
INTAKE kama upo humu na unafanya hivyoo kweli ona aibu ona Kwa maana hii sio laana tu unajitafutia ni laana kubwa .
Good day . Mf . Hai alikiba anakaa na familia yake hutaki kwendraa , diamond hashuki kipesa Kisa yupo na ndugu zake wewe nani mwenye hela za kudunduliza unasaidia watu wengine unawaacha NDUGU ZAKO kama Hujielewi nenda ukatolewe hiyo Tabia umelogwa.
Wanaume Kwa wanawake . Jiangalieni sana FAMILIA KWANZA MENGINE YANAFUATA WEWE KAMA HATA NDUGU HUWATAKI BASI MAMA YAKO hata ukamsitiri