technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Huu ni mwaka wangu wa mwisho kutafuta maisha, ninataka niyaishi. Inachosha sana aisee.Vijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha
ishi leo qith what you have.Huu ni mwaka wangu wa mwisho kutafuta maisha, ninataka niyaishi. Inachosha sana aisee.
Bible inasema: ni heri sikonzi moja ya pumziko kuliko sikonzi mbili ya kazi ngumu na kufuata upepo.
Nilichonacho kinatosha.
Nayaishi kwa kuyatafuta.....yan kazi na bata ......!Vijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha
SijaelewaVijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha
Niliacha muda Sana kutumikishwa na pesa nataka pesa initumikieHuu ni mwaka wangu wa mwisho kutafuta maisha, ninataka niyaishi. Inachosha sana aisee.
Bible inasema: ni heri sikonzi moja ya pumziko kuliko sikonzi mbili ya kazi ngumu na kufuata upepo.
Nilichonacho kinatosha.
Yaani kuwa wewe sio FulaniMiongoni mwa vitu vya muhimu naweza nikamshuri mtu yoyote ni kuishi sio kwamba usitafute tafuta ila usisahau tafuta muda sehemu tulivu kunywa kinywaji unachokopenda mara moja moja sio mbaya.
Tafuta muda furahia hata vimafanikio vyako vidogo umepata miangapi nunua kitu kinacho kufurahisha hata mara moja mwezi
Cha muhimu ni kutojilinganisha na wengine bila hivyo nakwambia utakufa na stress
Dah!,kuna ka ukwel lakin,kuna limaza limoja nilkuwa lipenz langu lilikuwa halpend kusikia neno eti nafikiria maisha au uwe na mwonekano wa kuwaza mambo,lilipenda kuniambia maisha tuliyonayo yanatosha na tuyakubalHuu ni mwaka wangu wa mwisho kutafuta maisha, ninataka niyaishi. Inachosha sana aisee.
Bible inasema: ni heri sikonzi moja ya pumziko kuliko sikonzi mbili ya kazi ngumu na kufuata upepo.
Nilichonacho kinatosha.
Dah!,kuna ka ukwel lakin,kuna limaza limoja nilkuwa lipenz langu lilikuwa halpend kusikia neno eti nafikiria maisha au uwe na mwonekano wa kuwaza mambo,lilipenda kuniambia maisha tuliyonayo yanatosha na tuyakubal
Na liliish hvyo kulkuwa hakuna sku unalikuta linawaza waza,lilikuwa linakibanda kidogo cha mahitaj ya nyumban na limelizika
Vijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha
Tusitafute vyeo tuache vyeo vitutafute
Tusitumikie pesa tuache pesa itutumikie.
Tusimiliki pesa Bali tumiliki vanzo vya sisi kupata pesa
Pesa Ni kama maji hata uchote vipi mwisho wa siku utayamwaga tu yarudi baharini
Kuna pimbi mmoja alijileta tu ghafula nyumban na nikaish nae kama mke ndo nkawa nimeachana na hilo limama maana alinibana mno,mpaka leo huwa nasikitika kuachana nalo🤣🤣🤣. ikiwa ulimuacha uliacha mtu sahihi.
i wish niwe na mtu kalba hiyo kwasasa.
watu wengi wanatamatika katika hii dunia bila kuishi na amekufa ana miaka 50 ama 60.