Tuyaishi maisha sio kutafuta maisha

Tuyaishi maisha sio kutafuta maisha

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Vijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha

Tusitafute vyeo tuache vyeo vitutafute

Tusitumikie pesa tuache pesa itutumikie.

Tusimiliki pesa Bali tumiliki vanzo vya sisi kupata pesa

Pesa Ni kama maji hata uchote vipi mwisho wa siku utayamwaga tu yarudi baharini
 
Miongoni mwa vitu vya muhimu naweza nikamshuri mtu yoyote ni kuishi sio kwamba usitafute tafuta ila usisahau tafuta muda sehemu tulivu kunywa kinywaji unachokopenda mara moja moja sio mbaya.

Tafuta muda furahia hata vimafanikio vyako vidogo umepata miangapi nunua kitu kinacho kufurahisha hata mara moja mwezi

Cha muhimu ni kutojilinganisha na wengine bila hivyo nakwambia utakufa na stress
 
Hao kina kija na kina Sam sasali, ndiyo wanaokudanganya eeh, endelea kudanganywa na na hao CMG
 
Miongoni mwa vitu vya muhimu naweza nikamshuri mtu yoyote ni kuishi sio kwamba usitafute tafuta ila usisahau tafuta muda sehemu tulivu kunywa kinywaji unachokopenda mara moja moja sio mbaya.

Tafuta muda furahia hata vimafanikio vyako vidogo umepata miangapi nunua kitu kinacho kufurahisha hata mara moja mwezi

Cha muhimu ni kutojilinganisha na wengine bila hivyo nakwambia utakufa na stress
Yaani kuwa wewe sio Fulani

Kuna watu anataka afanye siasa Kama Tundu Lissu wakati anajua yeye Ni yeye na Lissu ni mtu mwingine!!

Mtu anataka aishi maisha Kama ya Diamond, Sepetu na watu wengine wakati wao Ni wao na wale Ni watu wengine wanaishi maisha yao Kama zilivyo fani zao.
 
Huu ni mwaka wangu wa mwisho kutafuta maisha, ninataka niyaishi. Inachosha sana aisee.

Bible inasema: ni heri sikonzi moja ya pumziko kuliko sikonzi mbili ya kazi ngumu na kufuata upepo.

Nilichonacho kinatosha.
Dah!,kuna ka ukwel lakin,kuna limaza limoja nilkuwa lipenz langu lilikuwa halpend kusikia neno eti nafikiria maisha au uwe na mwonekano wa kuwaza mambo,lilipenda kuniambia maisha tuliyonayo yanatosha na tuyakubal

Na liliish hvyo kulkuwa hakuna sku unalikuta linawaza waza,lilikuwa linakibanda kidogo cha mahitaj ya nyumban na limelizika
 
🤣🤣🤣. ikiwa ulimuacha uliacha mtu sahihi.
i wish niwe na mtu kalba hiyo kwasasa.
watu wengi wanatamatika katika hii dunia bila kuishi na amekufa ana miaka 50 ama 60.
Dah!,kuna ka ukwel lakin,kuna limaza limoja nilkuwa lipenz langu lilikuwa halpend kusikia neno eti nafikiria maisha au uwe na mwonekano wa kuwaza mambo,lilipenda kuniambia maisha tuliyonayo yanatosha na tuyakubal

Na liliish hvyo kulkuwa hakuna sku unalikuta linawaza waza,lilikuwa linakibanda kidogo cha mahitaj ya nyumban na limelizika
 
Vijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha

Tusitafute vyeo tuache vyeo vitutafute

Tusitumikie pesa tuache pesa itutumikie.

Tusimiliki pesa Bali tumiliki vanzo vya sisi kupata pesa

Pesa Ni kama maji hata uchote vipi mwisho wa siku utayamwaga tu yarudi baharini
Screenshot_20211007-172805.jpg
 
🤣🤣🤣. ikiwa ulimuacha uliacha mtu sahihi.
i wish niwe na mtu kalba hiyo kwasasa.
watu wengi wanatamatika katika hii dunia bila kuishi na amekufa ana miaka 50 ama 60.
Kuna pimbi mmoja alijileta tu ghafula nyumban na nikaish nae kama mke ndo nkawa nimeachana na hilo limama maana alinibana mno,mpaka leo huwa nasikitika kuachana nalo
 
Back
Top Bottom