sosolegrande
Member
- Feb 23, 2015
- 13
- 8
Toyota vx
Toyota Land Cruiser ambapo imetokana na neno la kijapani Toyota Rando-kurūzā[SUP]?[/SUP]) ni aina ya magari yanayo tumia mfumo wa 4WD atika utendaji kazi wake yakiwa na nguvu na kasi kubwa katika swala zima la utendaji kazi wake. Uzalishwaji wa kizazi cha kwanza cha Toyota land cruiser ilianza Rasmi mwaka 1951.
TOYOTA VX FIRST GENERATION

1985 - The Direct-injection 12H-T turbodiesel engine ika anzishwa sasa kwa ajili ya kuruhusu utengenezwaji wa series mpya 70 series ambayo ndo VX sasa!!!!! HII ILIITWA PIA CRUISER DUME.
1988 - jamaa waka amua kiongezea uwezo ile petrol engine kwenda 4.0 L 3F-E EFI (Electonic Fuel Injection) engine. Ndo wakaitambulisha landcruiser FJ62G VX-Series kuruhusu sasa Land Cruiser kuzwa japan kama gari ya Abiria.
Kama utaona Itu hapo utagundua wa japan ni noma walianza kuutumia mfumo wa EFI zaman kidogo.
Body style
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 264"]
[TR]
[TD="width: 3"][/TD]
[TD="width: 343"] Full size SUV, 4-door station wagon[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 3"][/TD]
[TD="width: 343"] Engine[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 3"][/TD]
[TD="width: 343"] 4.2 L 2F I6 (FJ60)
4.0 L 3F I6 (FJ62)
4.0 L 3F-E I6 (FJ62 from 1988)
3.4 L 3B I4 diesel (BJ60)
4.0 L 2H I6 diesel (HJ60)
4.0 L 12H-T I6 turbo diesel (HJ61)
Transmission[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 3"][/TD]
[TD="width: 343"] 4-speed H41F or H42F manual
4-speed A440F automatic
5-speed H55F manual ( hii kwa wale walio nje ya USA pekee
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
TOYOTA VX SECOND GENERATION J80 (1990–1997)

Land cruiser 80 series ilizinduliwa rasmi octobeer 1989 pale tokyo ni ikanza kuuzwa rsmi mwaka 1994 ikiwa na mfumo mpya wa milango uitwao '' swing had swing-out back doors''.
gari hii ya kisasa zaidi kwa ipindi hicho ilipewa majina tofauti tofauti kama vile "Burbuja (Bubble) nchini Colombia na Venezuela utokana na ubabe wa gari hyo barabarani, japokuwa nchi hizo mbili nzima ilikuja kuitwa rasmi Autana.
ENGINE
4.0 L 3F-E I6
4.5 L 1FZ-FE I6
4.2 L 1HZ I6 diesel
4.2 L 1HD-T I6 turbo diesel
TRANSIMISSION
4-speed automatic
5-speed manual
TOYOTA VX series 100 (1998–2007)

Mwaka 1998 January 100 series ya Land cruiser ia anzishwa ikiwa kwa lengo la ku ireplace series 80 ambayo ilisha pita miaka 8 toka kutengenezwa kwake. Gari hili lilioneshwa mwaka 1997 october ikipewa jina la "Grand Cruiser" pale Tokyo japan motor show.
Uundaji wa mashine hii ulianza mwaka 1992 na mtindo wa mwisho ukamalizika mwaka 1994 ndo gari ikakamilika lakin ikaja ikaachiwa waka 1998, hii yote katika ku hakikisha kwamba wanatoa kitu bora zaidi. Gari hii pia ilijulikana Lexus LX 470.
ENGINE
4.5 L 1FZ-FE I6
4.7 L 2UZ-FE V8
4.2 L 1HZ I6 diesel
4.2 L 1HD-T I6 turbo diesel
4.2 L 1HD-FTE I6 turbo diesel
TRANSIMISSION
4-speed automatic
5-speed automatic
5-speed manual
Body style
4-door wagon
TOYOTA VX V8 J200 (2007–present)

Hii ni ya 2007-2013

hii ni ya 2014 had leo
In 2002, miaka 5 ya mipango na ubunifu wa waha jamaa wa kijapani kwenye100-series platform Sadayoshi Koyari na Tetsuya Tada wakaja na zao jpya kabisa la VX V8 Uundaji wa gari hili ulianza mwaka 2002 na kuja isha rasmi mwaka 2008.
Gari ikiwa imeongezewa mifumo mingi kama hai (active )automotive night vision system, system hii ilikua ikitumia mfumo wwa kisasa kwenye taa zake za mbele headlight projectors emitting near infrared light na CCD CAMERA ambayo hudaka matukio yote yanayoendelea nje ya gari kwa lengo la kuipa gari crediti kwenye swala zima la usalama kwani inauwezo wa kutembea ikiwa imezima taa zake usiku na ikimfanya dereva kuona vyema.
ENGINE [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 264"]
[TR]
[TD] 4.0 L 1GR-FE V6 4.6 L 1UR-FE V8[SUP][25][/SUP] 4.7 L 2UZ-FE V8[SUP][26][/SUP] 5.7 L 3UR-FE V8[SUP][27][/SUP] 4.5 L 1VD-FTV V8 turbodiesel
TRANSMISSION[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 6-speed automatic 5-speed automatic 5-speed manual
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
VX V8 YA KUANZIA MWAKA 2004 IMEKUJA IKIWA NA TRANSIMISION MBILI KWA WAKAT MMOJA YAAN GARI MOJA GIA MOJA LAKIN INA MFUMO MIWILI AUTOMATIC NA MANUAL KAZ NI WEWE KUCHAGUA TU UNATAKA UPII!!!!!
NB:Toa pendekezo topic ijayo tulichanechane gari gani