Tuyajue Magari haya Part 2

Tuyajue Magari haya Part 2

VX V8 ni maarufu sana Tanzania kwasababu zinatumiwa sana na viongozi, na wanaonunua wengi wananunua kwasababu wanaogopa maintanance ya other SUV kama RR au Nissan Patrol NM.

Interms of performance, power, comfotability RR ni the beast.
 
Mkuu nakupata mno, uko sawa kabisa, RR ni habari nyingine kabisa na hilo halipingiki.

2013_range_rover_75_1024x768.jpg
 
VX V8 ni maarufu sana Tanzania kwasababu zinatumiwa sana na viongozi, na wanaonunua wengi wananunua kwasababu wanaogopa maintanance ya other SUV kama RR au Nissan Patrol NM.

Interms of performance, power, comfotability RR ni the beast.

Sawa kabisa kijanaa upo sawa maintanance ya RR na ya Nissana ni ghali compare to Vx! Ila nissana sio kabisa wameshindwa kutupa kile tunachotaka kwenye speed huweiz compare vx na Nissan wala range na Nisaan! Utakubaliana na mm kwamba nissana haiko comfortable sana ktk driving tofauti na RR na Vx
 
Sijawahi kuipanda nissan ila kwenye body design Nissani ni the best ila kwenye performance ni the worst
 
Mm naomba uelezee toyota j70 series maana kwasasa ndio gari ya Kazi kwa 4wd. Afu australia waliunda ya 4.5L na ni V8 na nmeshudia hii gari , shughuli yake ni balaa
 
Back
Top Bottom