Alisikika kijana mmoja akisema kwa sauti ya juu......!!! Nanukuu:-
"Mkinywa maji ya mto mmoja si busara kuyatibua maji kwa miguu kwani wote mtakunywa Maji machafu! Yanini kutibua maji bila sababu!?!"
Mwisho wa Kunukuu!!
Sent using
Jamii Forums mobile app