Mkurugenzi Wa Mashirika
Member
- Oct 23, 2022
- 97
- 99
Ili kuokoa muda na gharama za kuajiri, tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani.
Utaratibu wa kuitumia Sekretarieti ya Ajira kushughulikia ajira za taasisi zote zilizopo Tanzania ni kupoteza muda wa kuajiri na kuita watu kwenye usaili.
Kuajiri kunachukua muda mrefu sana.
Utaratibu wa kuitumia Sekretarieti ya Ajira kushughulikia ajira za taasisi zote zilizopo Tanzania ni kupoteza muda wa kuajiri na kuita watu kwenye usaili.
Kuajiri kunachukua muda mrefu sana.