Mkurugenzi Wa Mashirika
Member
- Oct 23, 2022
- 97
- 99
Tena ni ujinga, Mkapa alifanya taasisi kuwa na heshima sasa alipokuja mwendazake kaharibuIli kuokoa muda na gharama za kuajiri.
Tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani.
Utaratibu wa kuitumia sekretarieti ya ajira kushughurikia ajira za taasisi zote zilizopo Tanzania ni kupoteza muda wa kuajiri na kuita watu kwenye usaili.
Kuajiri kunachukua muda mrefu sana.
We ulitaka kila mkuu wa taasisi aweke kabila lakeTena ni ujinga, Mkapa alifanya taasisi kuwa na heshima sasa alipokuja mwendazake kaharibu
ZINA UPENDELEO WA KIKABILA UNDUGU UDINI na NgonoIli kuokoa muda na gharama za kuajiri, tuziache taasisi za serikali ziajiri zenyewe kama zamani.
Utaratibu wa kuitumia Sekretarieti ya Ajira kushughulikia ajira za taasisi zote zilizopo Tanzania ni kupoteza muda wa kuajiri na kuita watu kwenye usaili.
Kuajiri kunachukua muda mrefu sana.