OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 457
- 773
Yes! Hili ni janga kwa kuwa watu wanakufa, production zimepungua kwa nchi zilizoendelea kwa baadhi ya vitu. Kama wanavyosema development is freedom then uhuru umepungua kwa watu kufungiwa
Lakini bado ziko fursa kwa nchi zinazoendelea kuweza kukuza uchumi wa nchii zao ka kipindi hiki kifupi. Nchi nyingi zinazoendelea ziko kusini mwa afrika ambazo nyingi kati ya hizo hazijaathirika na janga hili
FURSA ZILIZOPO
Ni wazi kuwa hakuna ugonjwa unaweza athiri dunia nzima, lazima kuna kuwa na zile free zones kwa sababu tofauti tofauti. Kama tukifanikiwa kuwa ‘Corona free zone’ basi tutarajia kufaidika kwa utalii, kwa kuongeza bei za bidhaa nchini na gharama za mtu kuingia nchini
Ikumbukwe waliokuwa katika yale maeneo yenye risk kubwa ya corona watatamani kuondoka kwa gharama yoyote na hapo ndipo tutakapopata faida zaidi.
Don’t worry, the higher the risk the Higher the returns!
Corona ni fursa ya nchi zetu kuendelea! It is a golden chance
MISAADA SIO FURSA NI KIRUSI KWA UCHUMI
Kama kawaida wazee wa kutegemea misaada badala ya kuangalia namna ya kuishi kwa ugonjwa huu bila kuathiri wananchi, tunatamani ugonjwa uje ili tupewe misaada ya kupambana nao. Hii ni fikra kirusi kwa uchumi
Najua hatutakuwa na hela ya kuweka sanitizers kwa miaka mingi na kila sehemu kwa ajili ya janga hili, Tutagemea misaada ili tuweze kuweka hizo sanitizers a sabuni, vidumu chirizi au water taps kwa kuwa na constant supply
Ubaya wa misaada ni kuwa watafaidi wachache na wananchi wataumia, lakini kwa muundo wa kiuchumi kutokana na gonjwa hili wengi watanufaika na wachache kuumia.
POSITIVE ECONOMIST THINKING
Signed
Oedipus

- Kwa kipindi kirefu nchi imetegemea ushuru na kodi ili kudhibiti uingizaji wa bidhaa za nje, lakini kwa sasa kwa kuwa bidhaa hazitaingia kwa janga hili, then ni fursa kwa viwanda vya ndani kuzalisha kwa wingi na kupata nafasi ya kukua, kwa kuwa tuna uwezo wa kuuza nje as long as bado nchi yetu haijaathirika
- Sabuni za maji nk. Katika nchi zetu kuna wazalishaji wadogo wa sabuni za maji ambao kwa mara nyingi soko lao lilikuwa mashakani na kutafutana sana, lakini kwa sasa wanaweza kuuza sabuni zao kwa watu wengi kwa kuwa elimu juu ya Corona inasisitiza kunawa mkono vizuri. Hivyo ni fursa yao kukua
- Wazalishaji wa bidhaa nyingine ambao kwa kiasi kikubwa walikuwa wanapambana na bidhaa za nje kwenye soko. Sasa ni fursa yao kukua kwa kuwa ushindani wa bidhaa za nje utakuwa mdogo sana kwa zitaingia aidha kimagendo na zitakuwa na bei kubwa sana