SoC04 Tuzibe ufa ndio tuanze kuskim

SoC04 Tuzibe ufa ndio tuanze kuskim

Tanzania Tuitakayo competition threads

Chan de

New Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Kuhusu swala la umeme apo jambo la muhimu ni kuangalia changamoto na matatizo yaliyopo ndio waanze mbinu na mifumo mipya,awawezi kuanza mfumo mpya wakiwa na vitu ambavyo sio bora.atuwezi kuwa na technology mpya kwa mifumo ya zaman
 
Upvote 2
Hata Yesu alisemaga, miaka thelathini na kidogo huko AD tusiweke divai mpya katika viroba vya zamani
 
Back
Top Bottom