C Chan de New Member Joined Jul 30, 2022 Posts 1 Reaction score 1 May 15, 2024 #1 Kuhusu swala la umeme apo jambo la muhimu ni kuangalia changamoto na matatizo yaliyopo ndio waanze mbinu na mifumo mipya,awawezi kuanza mfumo mpya wakiwa na vitu ambavyo sio bora.atuwezi kuwa na technology mpya kwa mifumo ya zaman Upvote 2
Kuhusu swala la umeme apo jambo la muhimu ni kuangalia changamoto na matatizo yaliyopo ndio waanze mbinu na mifumo mipya,awawezi kuanza mfumo mpya wakiwa na vitu ambavyo sio bora.atuwezi kuwa na technology mpya kwa mifumo ya zaman
Uhakika Bro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 3,644 Reaction score 4,315 May 15, 2024 #2 Hata Yesu alisemaga, miaka thelathini na kidogo huko AD tusiweke divai mpya katika viroba vya zamani