Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Kwahiyo kwako wewe hakuna tofauti ya kupenda na kupenda sana?80% ya emoji za JF zina maana moja
Hapo sijaona utofauti wa msingi kwenye hizo π β€οΈ π₯°
Hilo βοΈ ni Dole la Ngabu. Ninapendekeza kwa dhati kabisa hilo dole liwemo miongoni mwa reactions, kumaanisha kwamba atakayleta ujuaji atalikalia na lenyewe kumwingia ipasavyo.Hii jeπ?
Mwisho wa siku umependaKwahiyo kwako wewe hakuna tofauti ya kupenda na kupenda sana?
Kama mzizi wa neno upo sahihi,lakini hata ujumbe wake unatofautiana uzito, mtu ukimwambia Ninakupenda sana inafurahisha sana au inaleta raha zaidiMwisho wa siku umependa
Sina nenoπ€£Hilo βοΈ ni Dole la Ngabu. Ninapendekeza kwa dhati kabisa hilo dole liwemo miongoni mwa reactions, kumaanisha kwamba atakayetela ujuaji ataikalia na yenyewe kumwingia ipasavyo.
Mdogo wangu Al-mukheef unasema juu ya hili?
Hahaha dahni fire
Daaah alafu we jamaa ni mtu na heshima zako ujue ππππππππππππππ kwahyo jamaa alikua anaweka moto alafu anasemaje..?Kuna dogo mmoja anapendelea kutumia alama hiiπ₯alafu anaisindikiza na neno "ni fire" sasa kabla sijajua kiingereza cha kuungaunga nikadhani anataka mkuyenge kumbe anamaanisha ni moto π€£π€£π€£
Siku hizi sina kazi na heshima maana nimegundua heshima inapunguza umri wa kuishi πDaaah alafu we jamaa ni mtu na heshima zako ujue ππππππππππππππ kwahyo jamaa alikua anaweka moto alafu anasemaje..?
Kwahyo kila siku ukawa unajiuliza huyu dogo anataka nini huyu .... πππππSiku hizi sina kazi na heshima maana nimegundua heshima inapunguza umri wa kuishi π
Nikadhani anataka kusokomezewa πKwahyo kila siku ukawa unajiuliza huyu dogo anataka nini huyu .... πππππ