Tuzijue alama za kwenye noti zetu

Tuzijue alama za kwenye noti zetu

Mfagio

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
672
Reaction score
798
Jamani kila siku tumekuwa tukitumia noti zetu katika shughuli mbalimbali ila watu wengi tumekuwa hatujui maana ya alama zilizopo kwenye hizi noti,basi kwa yoyote anayejua maana ya hivi alama kwenye noti zetu haweze kutujuza
 
Back
Top Bottom