Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Salaam JF,
Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu usipoelewa basi.
Tenda wema kadri ya uwezo, penda, timiza, furahi. Wema usizidi uwezo.
Wengine tutaoa bila kuoa na ndio furaha yetu na sababu kuntu zipo.
Eden ilikuwa na kila kitu je, bibi yetu Hawa hakufanya yakufanyika tukubaliane wanawake ni wa mawinguni
Marry at your own risk.
Wadiz