Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Tatzo lipo kwa watoto wa kike ukisha funga nae ndoa anabadilikaAiseee!Kuna tatizo sehemu.Si bure.
Ziorodheshe hizo sababu na wanabadilikaje?Tatzo lipo kwa watoto wa kike ukisha funga nae ndoa anabadilika
Si ulikutana naye Bar siku ya kwanza tu na ulimla kimasihara kwa kuwa alikuwa na matako makubwa kama tikiti maji kisha ukalewa kimahaba bila ya kuchunguza tabia?Tatzo lipo kwa watoto wa kike ukisha funga nae ndoa anabadilika
Huyu aliooa ghaka akakimbia ndoa,sasa unadhani atashauri nnAiseee!Kuna tatizo sehemu.Si bure.
Ukiacha kunyandua au kunyanduliwa hovyo na wasio rasmi ndio utakuwa na credibility or rather audacity ya kukemea ila kama ushapita huko na hujatubu na unapita huko.Vijana haya maneno mnayoendeleza yanaalibu hatma ya maisha yenu
Hivii mkisema mnakataa ndoa,mnategemea kuwe na taifa la aina gani baadae,kwamba wototo wote walelewe na mzazi mmoja?
Hivi amuoni madhara ya malezi ya upande mmoja awe mwanamke/mwanaume pekee!
Wakati unajifikilia wewe,fikilia pia na kizazi unachokileta duniani,msiongozwe na mihemko bila kutumia mantiki.
Ndoa njema ndio chanzo cha jamii bora,taifa bora na ulimwengu bora. Tusisahau tamaduni zetu tukaiga tusivyojua asili yake.
Nb.
Angalieni namna mnavyoanzisha mahusiano yenu,mmekutana watu,lipi lengo la mahusiano,mitazamo yenu inarandana?! Muache kulalamika,ukitaka mke/mume mwema nawe kuwa mwema
Wanabadilika kma kinyonga mkuu mara wa bluu mara mwekundu mara mweupe .Ziorodheshe hizo sababu na wanabadilikaje?
Kwa hyo unataka nifunge ndoa ila nisifunge na mwanamke mwenye shepu ya kike ,ebu kuwa seriously basi ata kidgo tu.Si ulikutana naye Bar siku ya kwanza tu na ulimla kimasihara kwa kuwa alikuwa na matako makubwa kama tikiti maji kisha ukalewa kimahaba bila ya kuchunguza tabia?
Utapataje amani ya roho kwa huyo Ke?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Either your father would have gone around preaching 'Tuzikatae ndoa', this world would have one idiot less.Salaam JF,
Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu usipoelewa basi.
Tenda wema kadri ya uwezo, penda, timiza, furahi. Wema usizidi uwezo.
Wengine tutaoa bila kuoa na ndio furaha yetu na sababu kuntu zipo.
Eden ilikuwa na kila kitu je, bibi yetu Hawa hakufanya yakufanyika tukubaliane wanawake ni wa mawinguni
Marry at your own risk.
Wadiz
Hasira za fisi huishi kula mizoga ni mfumo wa poriniEither your father would have gone around preaching 'Tuzikatae ndoa', this world would have one idiot less.