Tuzitazame fursa za kiuchumi kipindi hiki cha Corona

mimi mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
248
Reaction score
539
Ikiwa dunia inapitia kwenye mtikisiko mkubwa wa kiafya na kiuchumi baada ya kukumbwa na janga la corona.

Tumeshuudia biashara, ajira, uwekezaji nk vikiporomoka.

Lakini wanasema penye kila changamoto kuna fursa, tumeona baadhi ya fursa zilizojitokeza kwenye kipindi hiki kama ushonaji wa barakoa, uuzaji wa sanitizer, online schooling na dawa za kufubaza virus za corona.

Je, kuna fursa gani zingine mtu anaweza zitumia kuongeza kipato au chochote kipindi hiki cha corona au hata wakati wa recovery ya ili janga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…