Tuzo anazoshinda muigizaji Monalisa mbona hazishangiliwi?

Huyu anajielewa angalau, anaigiza kama kazi tu ila wadada wengine hawafanyi kama kazi bali kama fursa ya madanga
 
Labda naye hajui kushangilisha, mambo mengine ni kipaji atii..
 
Team,Mona hana fan base km lulu,wema n.k;!!

Team Lulu,team wema ndo wanayakuzaaa!
 
ni kwa sbabu aliamua kubadilika na kuifanya kazi yake "" kiustaarabu na kujiheshimu .."" hajataka kuifanya Sana'a kama Uwanja wa kudanga na kujipatia mabwana...kama ambavyo wanavyo fanya hao uliowataja".... angekuwa nae anagombea mabwana insta na kukaa uchi uchi "" basi angekuwa n fan base yakutosha tu ...na watu wangekuwa wanamsaport ..
"" BONGO"" ILI UWEZE"" KUWA STAR""" UNATAKIWA UWE NA AKILI ZA"" WAGONJWA """WA MILEMBE ..UJICHETUE CHETUE ...SEEMS WABONGO NI WATU WANAOPENDA KUFUATULIA MAMBO YA KIJINGA JINGA ".".. kwa sbabu wabongo wengi akili zao zinawaza ujinga tu ""..
 
Ila ni kiropoko mno, kwenye kurasa wake wa insta anaropokaga sana hana nidhamu, na watanzania wameamua kumpotezea
 
Umeshawahi pita kwenye ukurasa wake wa Instagram huwa anavikauli vya ajabu, ukipita utarudi hapa kufuta ulichoandika
 
Tuzo ijayo itakuwa ya usimamiaji Mr Tanzania.
 
Ni mtata haswaa sema tu watu wanampotezea
Umeshawahi pita kwenye ukurasa wake wa Instagram huwa anavikauli vya ajabu, ukipita utarudi hapa kufuta ulichoandika
Ashakua zilipendwa huyuuu!!
Ila ni kiropoko mno, kwenye kurasa wake wa insta anaropokaga sana hana nidhamu, na watanzania wameamua kumpotezea
 
ni kwa sbabu aliamua kubadilika na kuifanya kazi yake "" kiustaarabu na kujiheshimu .."" hajataka kuifanya Sana'a kama Uwanja wa kudanga na kujipatia mabwana...kama ambavyo wanavyo fanya hao uliowataja".... angekuwa nae anagombea mabwana insta na kukaa uchi uchi "" basi angekuwa n fan base yakutosha tu ...na watu wangekuwa wanamsaport ..
"" BONGO"" ILI UWEZE"" KUWA STAR""" UNATAKIWA UWE NA AKILI ZA"" WAGONJWA """WA MILEMBE ..UJICHETUE CHETUE ...SEEMS WABONGO NI WATU WANAOPENDA KUFUATULIA MAMBO YA KIJINGA JINGA ".".. kwa sbabu wabongo wengi akili zao zinawaza ujinga tu ""..
Huyu mama watatu kaamua kutulia sasa hivi maana umri unaenda miaka 39 si haba kwa kweli watoto 3 then single..!bora alee watoto afanye yake kimya kimya tu!

Maana akisema ajichetua ameumia![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!
 
Wakuu,

Hii ni mara ya pili msanii huyu wa kitambo kwenye Bongo movie anapata tuzo huko nje ya nchi.

Ila hakuna mbwembwe za kupokelewa kama Lulu..

Inamaana hata Wizara ya habari hawaoni kazi anazofanya huyu msanii?

Au tuzo zake ni uchwara?

Wanaojua juu ya tuzo anazogombania huko nje ya nchi huyu Monalisa mtujuze.

huyu Dada ni underrated sana....ila ndiyo kati ya maligend wachache sana waliokuwa talented sana kwenye sanaa ya uigizaji Africa...kwa bongo kwa waigizaji wa kike hakuna wa kuukamata huo moto mpaka sasa.
 
Huyu mama watatu kaamua kutulia sasa hivi maana umri unaenda miaka 39 si haba kwa kweli watoto 3 then single..!bora alee watoto afanye yake kimya kimya tu!

Maana akisema ajichetua ameumia![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Haha hahah....menopause "" inabisha hodi " "hapo akijifanya mwehu tu "" waoaji nao wanasusa ""..
 
Hana kiki

Hana pesa za kupoteza kuhudumia teams uchwara.

Hizo pesa za kuandaa amsha amsha kaona bora azitumie kulea wanae

She is natural. Hana cha kuremba wala kujipendekeza kwa watu na team zao anatoa ya moyoni pale anapojisikia,analea wanae anavyotaka yeye,anampenda mama ake na wala hamuingizi kwenye maugomvi ya mitandaoni.

All in all congratulations Monalisa.
 
Umeshawahi pita kwenye ukurasa wake wa Instagram huwa anavikauli vya ajabu, ukipita utarudi hapa kufuta ulichoandika
seriously""!? .....Bahati nzuri /mbaya "" sinaga acc ya Insta ....
 
Daah aisee haya mawazo ya kizaman mkuu. Maisha bila ndoa inawezekana. Monalisa alishaolewa tena ndoa kubwa ilitikisa enzi zile so gundu la ndoa keshatoa
Haha hahah....menopause "" inabisha hodi " "hapo akijifanya mwehu tu "" waoaji nao wanasusa ""..
 
Daah aisee haya mawazo ya kizaman mkuu. Maisha bila ndoa inawezekana. Monalisa alishaolewa tena ndoa kubwa ilitikisa enzi zile so gundu la ndoa keshatoa
naaam nakumbuka ...enzi ya Tyson ...ulichosema ni sahihi " but ina depend na " kile ambacho mtu anakiota katika maisha "" ndoa sio mantiki ya maisha ...lakini katika Jamii "" Yetu " kuna watu bado wanajiona sio timilifu " pindi wanapalokuwa wamekosa ndoa.." na katika hao miongoni mwao " anaweza kuwepo "" huyo monalisa .."...
 
jambo jema ni jema tu, alienda kimya kimya, hakuna aliyepiga kura ndio maana tuzo haina mashiko saaaana vile kapewa tu hakuna mTz aliyepiga kura...

enyewei amestahili alichopata
 
Back
Top Bottom