TUZO/AWARDS 2016 DIAMOND PLATNUMZ - plz ingia humu kumpigia kura

TUZO/AWARDS 2016 DIAMOND PLATNUMZ - plz ingia humu kumpigia kura

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
6,143
Reaction score
3,625
IMG-20161012-WA0000.jpg

MTV (MAMA)- Bonyeza link hii 2016 MTV Africa Music Awards

Bonyeza tu vote halafu X halafu vote...

Kuna tuzo mbili kama pichani juu.
1. Best Male
2. Artist Of The Year

***************


PIA Rayvanny nae anawania tuzo ya MAMA usisahau kuingia humo kwenye kipengele chake kumpigia kura "Best Breakthrough Artist"

IMG-20161012-WA0001.jpg

Chagua kipengele pia kwa link hii

2016 MTV Africa Music Awards

IMG-20161012-WA0004.jpg


*********************
TUZO ZA AFRIMMA - bado siku tatu kufungwa.

IMG-20161012-WA0005.jpg


Link hii

Nominees 2016 | AFRIMMA


1. Best East Africa
2. Artist of the Year
3. Song of the Year - Utanipenda
4. Song Writer of the Year - Utanipenda
5. Best Collabo ft AKA
6. Video of the Year - Akothee ft Diamond
...

Pia Harmonize
IMG-20161012-WA0006.jpg


Na

Moses Iyobo - Best African Dancer
( dancer wa Diamond)

Yamoto Band wamo kwa - Best Group


******************
BEFFTA AWARDS

BEST INTERNATIONAL MALE AFRICAN ACT
- CHAGUA DIAMOND PLATNUMZ

BEFFTA Awards Voting

Unachagua kama kwenye picha chini
Bado siku tatu.
Screenshot_2016-10-13-18-41-39_1.jpg



***********************

Tanzania oyeeee
 
Sasa inakuaje ufanye kazi ya bure?

Ungekuwa umeshanisoma humu kabla ungeelewa. Kushabikia ni uamuzi na pia ni furaha kuona wanamuziki wa nchi yetu wanapeperusha bendera yetu.

Nimeishi nchi za nje zile zinazoongoza duniani kwa upande wa East ukiwa TZ, hata masomoni, najua ile kukaa unaona watu wanashabikia wa nchi zao kwenye mengi na mimi kubaki kusubiri Miss World tu.

Miaka sasa nimerudi nchini, hivyo ni furaha yangu kutaka kuona nikiwa kibarazani huku Tandale tunaangalia na kushangilia Tanzania.
 
Timu ndio zinazo wamaliza na hili lazima liwaghalimu wote na timu zenu hakuna namna
 
View attachment 416856
MTV (MAMA)- Bonyeza link hii 2016 MTV Africa Music Awards

Bonyeza tu vote halafu X halafu vote...

Kuna tuzo mbili kama pichani juu.
1. Best Male
2. Artist Of The Year

***************


PIA Rayvanny nae anawania tuzo ya MAMA usisahau kuingia humo kwenye kipengele chake kumpigia kura "Best Breakthrough Artist"

View attachment 416863
Chagua kipengele pia kwa link hii

2016 MTV Africa Music Awards

View attachment 416886

*********************
TUZO ZA AFRIMMA - bado siku tatu kufungwa.

View attachment 416916

Link hii

Nominees 2016 | AFRIMMA


1. Best East Africa
2. Artist of the Year
3. Song of the Year - Utanipenda
4. Song Writer of the Year - Utanipenda
5. Best Collabo ft AKA

******************
Tanzania oyeeee
kama ni kweli mbona unabagua au kiba sio mtanzania? kama unataka zije nyumbani ungewaprpt wasanii wote tz nasio wachache
 
kama ni kweli mbona unabagua au kiba sio mtanzania? kama unataka zije nyumbani ungewaprpt wasanii wote tz nasio wachache

Mimi nachukua kwa wanaojitangaza na kuziona daily na humu hakuna...ukitaka na wewe una uhuru wa kurusha kuwaombea kura unaowataka.

Uwanja huu upo wazi...pia Kiba alishaombewa kura humu tangu, acha tuombee wengine pia.
 
Amesahau uzi wa vote for wizkid mwaka 2015 katika MTVMAMA kategori ya BestAfricanAct while Salome akigombea kategori hiyo.
 
Back
Top Bottom