TUZO/AWARDS 2016 DIAMOND PLATNUMZ - plz ingia humu kumpigia kura

TUZO/AWARDS 2016 DIAMOND PLATNUMZ - plz ingia humu kumpigia kura

Mimi nachukua kwa wanaojitangaza na kuziona daily na humu hakuna...ukitaka na wewe una uhuru wa kurusha kuwaombea kura unaowataka.

Uwanja huu upo wazi...pia Kiba alishaombewa kura humu tangu, acha tuombee wengine pia.
Dada asante sana kwa kutukumbusha.
 
Ungekuwa umeshanisoma humu kabla ungeelewa. Kushabikia ni uamuzi na pia ni furaha kuona wanamuziki wa nchi yetu wanapeperusha bendera yetu.

Nimeishi nchi za nje zile zinazoongoza duniani kwa upande wa East ukiwa TZ, hata masomoni, najua ile kukaa unaona watu wanashabikia wa nchi zao kwenye mengi na mimi kubaki kusubiri Miss World tu.

Miaka sasa nimerudi nchini, hivyo ni furaha yangu kutaka kuona nikiwa kibarazani huku Tandale tunaangalia na kushangilia Tanzania.
Mzurimie huyo ni alikiba so asikupe stress
 
Ww unalala na njaa unakesha HUKU kwa Bando la 500 kuwapigia kura wenzio HAYO ndio mambo niliyokwisha kataa maishani
 
Ww unalala na njaa unakesha HUKU kwa Bando la 500 kuwapigia kura wenzio HAYO ndio mambo niliyokwisha kataa maishani
umeongea pnt sana wasanii wenyewe wanatharau sana hasa wakishapata izo tuzoo
 
Ww unalala na njaa unakesha HUKU kwa Bando la 500 kuwapigia kura wenzio HAYO ndio mambo niliyokwisha kataa maishani

Pole kwa kulala njaa.

Wengine tunazisaka tusilale njaa, ili tuweze pia kuburudika kama hivi.
 
HOW TO VOTE FOR [HASHTAG]#MTVMAMA2016[/HASHTAG]
Online Voting

Fans can vote right here on mama.mtv.com!

Limit: 5 times per category per computer per day

Google

To vote via Google,

Search “MTV MAMA” on Google
Tap and select the nominee you'd like to vote for from the resulting Category Card
Click the “vote” button to submit
Users must log in with their verified Google Account before submitting their vote(s)
To vote from outside Africa, go to an African Google domain, eg. www.google.co.za, www.google.co.ke, www.google.com.ng etc.) and type "MTV MAMA" into the search bar
Limit: 5 votes per category per Google Account per day

Social Media Voting

Facebook

Post a status update from your personal Facebook account that includes the hashtag [HASHTAG]#MAMAVote[/HASHTAG] and name of the category (eg [HASHTAG]#Besthiphop[/HASHTAG]) and the name of the NOMINEE for whom you would like to vote
Comment on a post from the MTV BASE AFRICA official Facebook page using the NOMINEE's name, the name of the category (eg [HASHTAG]#BestMale[/HASHTAG]), and the hashtag, [HASHTAG]#MAMAVote[/HASHTAG].
Limit: one (1) NOMINEE name per post, and up to five (5) posts per day, per user

Twitter

Using your personal Twitter account, Tweet, Retweet or Reply a NOMINEE’s name or Twitter handle using the designated hashtag [HASHTAG]#MAMAVote[/HASHTAG] and the relevant category (eg [HASHTAG]#BestFemale[/HASHTAG]).
Limit: one (1) NOMINEE name per Tweet, and up to five (5) unique Tweets per day per Twitter account.

Instagram

Using your personal Instagram account, post MAMA or MUSIC related original photos with a NOMINEE’s name or Instagram handle, the category name (eg [HASHTAG]#BestBreakthrough[/HASHTAG]) and the hashtag, [HASHTAG]#MAMAVote[/HASHTAG] in the lower-third copy.
Photos must originate from user’s account.
Limit: one (1) NOMINEE name per photo post, and up to five (5) unique posts per day, per Instagram account
 
Thank you mdau kwa kutoa link, nami nimepiga kussuport our local artist, utaifa mbele timu badaye, let support each other kushida kwa mtu wa nyumbani mataifa yanakuwa yanaangalia lakini pia kwa upande mwingine watu wanakuwa wana google zaidi kuijua nchi na vile tunavyo offer.
 
Kuwa mzalendo mkuu, Iink ya mfalme king mbona siion au yeye ni raia wa burundi?
 
Back
Top Bottom