Tuzo ! Tuzo ! Miaka 10 ya JF

1. Great thinkers wa ukweli.
(Nguruvi3 , Mchambuzi )
Wana Intellectual humility,na ni watu wachache sana humu wanaotoa muda wao kuelimisha jamii bila gharama yoyote.
Hata ukiwatukana sana wala hawapotezi muda wao kukujibu. This is the Sign of maturity.
Na sifa nyingine great thinkers wengi wako limited kwenye majukwaa. Huwa ni kule Siasa japo siku hizi siyo sana na Great Thinkers.

2. Mkongwe wa Bora.
Mzee Mwanakijiji .
Tutakuwa tumekosea sana tusipomkubali huyu Mzee.
Japo siku hizi he is a Brain for hire.

3. Underground Bora.
Hapa wako wengi sana. Na kutokana na multiple ID's inakuwa ngumu kuwataja.
Ila mimi nadhani

4. Member Mwenye Busara Kuliko wote.
(MziziMkavu , King'asti na Watu8 )
Wanastahili hii tuzo.

5. Member Mkorofi.
(kahtaan ,Ishmael)
These are the top Celebro Assassins.
Huwezi shindana nao hata siku, wako full machine in order.
Hapa wale jamaa zetu kina Nyani Ngabu , Kiranga ,GENTAMYCINE ,Barbarosa wanaopenda kutafuta sifa hapa jukwaani kwa kudhalilisha watu waligonga mwamba.

6. Mburudishaji bora.
(General Galadudu , MO11 )
Hawa ni wataalamu kwenye hili jukwaaa.
Huna mwingine.

7. Mchekeshaji Bora
Hapa sina candidate kwasababu mambo mengi yanayochekesha humu yamejaa kebehi na kashfa.

8. Muelimishaji Bora.
(Nguruvi3 , MziziMkavu, mshana jr , Dotworld )
Wanachukua hizi tuzo bila shidaaaah.
Full content hawa watu.

9. Avatar yenye mvuto.
Avatar ya Moderator JamiiForums ndiyo ina mvuto sana, nyingine zote copy cats tu.

10. Member mwenye kiherehere.
Hapa its a tie.
Kuna watu kama (Rungu , Barbarosa )

11. Member mwenye majivuno kuliko wote
Hapa hakuna mtu kama (LE MUTUZ ALIASES WILLIAM MALECELA na FIELD MARSHAL ES.)

12. Member anayeongoza kwa habari za Umbea.
Sifuatiliagi umbea umbea.
Wambea watusaidie kwa hili.

13.


14. Member wa Witch Craft
Hapa hakuna mtu kama huyu mjukuu wa Mzee Mwakipande.
mshana jr .

15. Member anayeongoza kwa hadithi tamu.
Hakuna kama Yericko Nyerere .
Kamwe hatatokea mtu humu.

16. Member anayeongoza kwa Chai na fix
Hakuna kama General Galadudu na lara 1 .

18. Member Mbishi kuliko wote (kila kitu anapinga)
Hapa wapo Advocatus Diaboli wako wengi sana.
 
1/Great thinker wa ukweli
Kiranga

2/ Mkongwe bora
Nyani Ngabu

3/Underground bora
Bitoz

4/Member mwenye busara kuliko wote
Nguruvi3

5/Member mkorofi zaidi
kahtaan

6/Mburudishaji bora
vampire_hunter007

7/Mchekeshaji bora
vampire_hunter007

8/Muelimishaji bora
MziziMkavu

9/Avatar yenye mvuto
Nyani Ngabu
Mish Albert

10/Member mwenye kiherehere
einstein newton

11/Member mwenye majivuno kuliko wote
kahtaan

12/Member anayeongoza kwa habari za umbea
kahtaan

13/Member anayeongoza kwa kuleta breaking news na habari
warumi

14/ Member anayeongoza kwa witchcraft
mshana jr

15/ Member anayeongoza kwa hadithi tamu
lara 1
 
16/Member anayeongoza kwa kutunga uongo/chai/fix
Barbarosa
17/ Member mbumbumbu/kilaza kuliko wote
GENTAMYCINE
18/Member mbishi kuliko wote(kila kitu anapinga)
Hayupo

Kama anapinga kila kitu basi anajipinga hata yeye

19/Member anayeongoza kwa kuandika sentensi fupi( short &clear)
kabanga

20/Kinara wa kuanzisha maneno/misamiati mipya
Kiranga
eg.Jini-ujuvi

21/Member kinara wa kukatisha tamaa wenzake(hapendi wenzake wafanikiwe)
PolPot
 
Kweli umri umenitupa mkono....wengi niliowasoma humu ni wageni kabisa....lkn nakubali kwa kweli kwamba the new overthrow the old....nilitoa maoni yangu kwa miaka sita niliyokaa humu...ila kweli sku hz mambo huenda chapchap vijana wanatuacha
 
Upo juu
 
#3...Bitoz
Hahahaaaaa
 
Thread ifungwe sasa,washindi wapewe tunzo zao!
Mbona una haraka au umetumwa na Jecha....kasome maelezo vizuri washindi watatangazwa week end
Tuwape na walio offline muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…