Tuzo ! Tuzo ! Miaka 10 ya JF

Tuzo ! Tuzo ! Miaka 10 ya JF

Mwenye taarifa za malaria Sugu....ck mingi simuoni au ndio lizabon..alibadilisha ubini
 
Duh!!!
Kumbe ilikuwa mashindano!!!!!???
Mngetushtua mapema pengine Mbuzi mzee angejitwalia medali ya mapicha, mimi category yangu sijaiona, "msomaji mahiri wa post zote"
 
Duh!!!
Kumbe ilikuwa mashindano!!!!!???
Mngetushtua mapema pengine Mbuzi mzee angejitwalia medali ya mapicha, mimi category yangu sijaiona, "msomaji mahiri wa post zote"

Mapicha picha ni # 23 mkuu
Mwisho wa kupiga kura IJUMAA SAA 2:00 USIKU...
Hujachelewa !!!!
 
Back
Top Bottom