Aisee nimecheka kwa sauti mpaka nimemwamsha wife!
Underground vs Wakongwe wa JFKweli umri umenitupa mkono....wengi niliowasoma humu ni wageni kabisa....lkn nakubali kwa kweli kwamba the new overthrow the old....nilitoa maoni yangu kwa miaka sita niliyokaa humu...ila kweli sku hz mambo huenda chapchap vijana wanatuacha
Aisee nimecheka kwa sauti mpaka nimemwamsha wife!
Aaaaah! lakini JE! Tuko wangapii??
We mleta uzi ulitakiwa ukae kimya kula ziPigwe mbona kama unataka kuleta UJECha hapa!Hapa anayestahili tuzo anajulikana ila watu wanaogopa kumtaja...full fujo + matusi
Duh!!!
Kumbe ilikuwa mashindano!!!!!???
Mngetushtua mapema pengine Mbuzi mzee angejitwalia medali ya mapicha, mimi category yangu sijaiona, "msomaji mahiri wa post zote"
Itakuwa 18# ngap [emoji780]