Tonnychars
Member
- Aug 10, 2016
- 26
- 18
dah mi nasubili nioneAm very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
Alisema yeye ni mkubwa zaidi ya tuzo.
UKIONA CHOO NDOTONI USIKITUMIE,UTAUMBUKA.Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
Pole kwa kuumia hadi leo, ndio unajipoza kwa hivi DUH.
UKIONA CHOO NDOTONI USIKITUMIE,UTAUMBUKA.
Niombe radhi kwa usumbufu unaojitokeza kuhusu chanzo cha habari hii,, nawaombeni muwe na subira!.source
Hahaha,naona namna mnavyoanza kupindisha habari!!!
I knew that,, na mtapotosha Sana, mtajifanya hii tuzo siyo ya muhimu!! Hio haitanipa shida!, we are happy, as his fans kwamba haki imetendeka
KAZI HIYO IFANYE WEWE AMBAYE SI "HATER"Karibu hater!!! Nakushauri tuu uweke akiba ya maneno,, naomba unisikilize kwa leo,, utafaidika,, soon utajua kuwa niko macho, sijalala,,
Kwa ushauri zaidi, nenda page zote za instagram including ya sautisol uone Kama ile post ya kumpongeza wizzie Kama ipo..
Niwie radhi habari yangu haijakamilika hater! Ila ni kweli, ukweli mtupu.
N
Kabisa hauoni aibu kuandika maneno bila tamko la wenye tuzo?[/QUOT]
Sawa mkuuKAZI HIYO IFANYE WEWE AMBAYE SI "HATER"
acha presha..
Ni msanii wa bongoflavor,,Ali saleh kiba,,katika maisha yako hujapata tuu bahati ya kumjua,hajawahi hata kuwa na kigezo chochote cha ku be nominated kwenye tuzo yoyote kubwa labda eatvawards!Alikiba ndio nani wakuu?, naomba kufahamishwa