Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
dah mi nasubili nione
 
Hahaaa,jambo ambalo liko wazi na ninalitegemea ni kwamba haters mtabadilisha Mada!! Tehh, mtaanza oooh tuzo yenyewe mmeinga'ng'ania oooh mmeililia!!!,
Trust me haters wote watabadilisha Mada,!!cha muhimu na ninalowakumbusha ni kuwa mlisema
.alikiba hastahili
.hamfikii wizie hata robo
.league zake za mchangani
..sijui mtakuja na gani jipya???? Labda mtasema tuzo haina maana,.,
Alisema yeye ni mkubwa zaidi ya tuzo.
 
Pole kwa kuumia hadi leo, ndio unajipoza kwa hivi DUH.
 
Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
UKIONA CHOO NDOTONI USIKITUMIE,UTAUMBUKA.
 
Hahaha,naona namna mnavyoanza kupindisha habari!!!
I knew that,, na mtapotosha Sana, mtajifanya hii tuzo siyo ya muhimu!! Hio haitanipa shida!, we are happy, as his fans kwamba haki imetendeka
Pole kwa kuumia hadi leo, ndio unajipoza kwa hivi DUH.
 
Karibu hater!!! Nakushauri tuu uweke akiba ya maneno,, naomba unisikilize kwa leo,, utafaidika,, soon utajua kuwa niko macho, sijalala,,
Kwa ushauri zaidi, nenda page zote za instagram including ya sautisol uone Kama ile post ya kumpongeza wizzie Kama ipo..
Niwie radhi habari yangu haijakamilika hater! Ila ni kweli, ukweli mtupu.
N
UKIONA CHOO NDOTONI USIKITUMIE,UTAUMBUKA.
 
Hahaha,naona namna mnavyoanza kupindisha habari!!!
I knew that,, na mtapotosha Sana, mtajifanya hii tuzo siyo ya muhimu!! Hio haitanipa shida!, we are happy, as his fans kwamba haki imetendeka

Kabisa hauoni aibu kuandika maneno bila tamko la wenye tuzo?
 
Daah aibu izi mnalitia taifa mnaenda kutukana kwny page ya wiz kid team kibakuli bhn
 
Karibu hater!!! Nakushauri tuu uweke akiba ya maneno,, naomba unisikilize kwa leo,, utafaidika,, soon utajua kuwa niko macho, sijalala,,
Kwa ushauri zaidi, nenda page zote za instagram including ya sautisol uone Kama ile post ya kumpongeza wizzie Kama ipo..
Niwie radhi habari yangu haijakamilika hater! Ila ni kweli, ukweli mtupu.
N
KAZI HIYO IFANYE WEWE AMBAYE SI "HATER"
 
Alikiba ndio nani wakuu?, naomba kufahamishwa
 
Ni msanii wa bongoflavor,,Ali saleh kiba,,katika maisha yako hujapata tuu bahati ya kumjua,hajawahi hata kuwa na kigezo chochote cha ku be nominated kwenye tuzo yoyote kubwa labda eatvawards!
Kwa hiyo kutokumfahamu siyo kosa. Karibu,,
 
Back
Top Bottom