Na bado sijamaliza kitabu, vumilia maisha yangu utakula vya kwangu...
Hiyo hainisumbui tena
Asante Mkuu kwa Kunithaminisha zaidi.
Awesome Babu kijana zawadi yako ta tai hiiView attachment 1991584
My one&only dearest,sweetest babu π₯°π₯°
Kuna wale haters watasema uliowatag hapo wote vidume,wasikujaribu pia
I siiiii yuuuu heita namba waniii πJeiefu ina vidume vya kike, na vijike vya kiume Jo π
ππππI siiiii yuuuu heita namba waniii π
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Iende kwa Pro-ccm maana wana courage ya ajabu aiseee, kutetea ujinga wa wazi kabisa? Kile ni kipaji nakwambia
jukwaa la teknology analitendea haki sana BIG UPHapa ni chief mkwawa tu.