Tuzo ya heshima ya mwaka huu kwa Member wa JF

Tuzo ya heshima ya mwaka huu kwa Member wa JF

Awesome Babu kijana zawadi yako ta tai hii
IMG_20211030_074740.jpg

Mke wa ujana wangu Sky Eclat
My dear mjukuu Joanah
Mchepuko wa Milele Sakayo
Kipenzi changu Nuzulati
My dear mama D
Swahiba Numbisa

Yani hawa tuzo zao ziwe za maisha...

Baadae ntakuja na wale wa tuzo ya mwaka

Sasa wale vizabinazabina wasinihoji kwanini wote ni jinsia KE. Haiwahusu nami sijaribiwi
 
Mke wa ujana wangu Sky Eclat
My dear mjukuu Joanah
Mchepuko wa Milele Sakayo
Kipenzi changu Nuzulati
My dear mama D
Swahiba Numbisa

Yani hawa tuzo zao ziwe za maisha...

Baadae ntakuja na wale wa tuzo ya mwaka

Sasa wale vizabinazabina wasinihoji kwanini wote ni jinsia KE. Haiwahusu nami sijaribiwi


My one&only dearest,sweetest babu 🥰🥰

Kuna wale haters watasema uliowatag hapo wote vidume,wasikujaribu pia
 
Nawapa wanajf wote hata nisiowakubali maana huo utofauti wetu ndio unaoifanya jf iendelee kuwa jf.
 
Back
Top Bottom