Tuzo ya heshima ya mwaka huu kwa Member wa JF

Tuzo ya heshima ya mwaka huu kwa Member wa JF

Iende kwa Pro-ccm maana wana courage ya ajabu aiseee, kutetea ujinga wa wazi kabisa? Kile ni kipaji nakwambia
 
Katika maisha ni vizur mtu kujikubali kwanza na kujihamin mwenyewe then uwakubali wenzio

Hivyo basi, tuzo ziniendee mm mwenyewe Felix, kwa mchango wangu wowote niliyowah kuchangia,kumshauri,n.k

Pili tuzo ziwaendee members wa JF wote kwa ushiriki wao. Hatuwez kufanana Mungu ametuumba hivyo.
 
Back
Top Bottom