Tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa msimu ibadilishwe.

Tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa msimu ibadilishwe.

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Wanajamvi,
Sijajua hawa Bodi ya Ligi huwa wanatumia kigezo gani kumpata mchezaji bora wa msimu yaani MVP,

Ninachojua ni kuwa mchezaji akiwa na magoli mengi,au asist nyingi basi mchezaji huyo ana nafasi kubwa ya kuwa mchezaji bora wa msimu,au yule anayeimbwa sana na hawa wachambuzi hasa wa Azam,Clous fm, na vyombo vingine maarufu.

Wakuu, hivyo vigezo hapo juu havitoshi kumfanya mchezaji awe mchezaji bora wa msimu

Ila tuwashukuru bodi ya ligi msimu huu kwa kuleta tuzo mchezaji bora wa mchezo yaani "man of the match"

Tuzo hii ya mchezaji bora wa mchezo inaweza kusaidia kuainisha ni mchezaji gani anafaa kuwa mchezaji bora wa msimu yaani MVP, kwa kuangalia mchezaji yupi anazo tuzo ngapi za man of the match katika msimu,hivyo mwenye tuzo nyingi za MAN OF THE MATCH ndiye mshindi wa MVP wa msimu.

Wakuu, nyie mnasemaje?
 
Hilo haliwezekani ila tu safari hii kuna haja ya kuangalia mtu ambaye hachuji, wala hashuki kiwango chake ni mtu wa kazi haswa. Mwamba Khalid Aucho, sijui TFF na bodi ya ligi kawakosea nini huyu jamaa.
 
Msiemtaka Feila sufi mtakufa kwa majanaba..
Basi mr mvp Ahouaaaa
 
1.Feisal salum
2.Clement Mzinze
3.Pakome Zoazoa.
4.Maxi Nzengeli.
5.Dicson Job.
6. Prince Dube
7. Jean Charles Ohua.
8. Leon Ateba.
9 .Elie Mpanzu.
10. Nelson mganga.
11. Jibril silah.
12. Suleman Mwalimu
13. Yakub suleiman.
14 Fabrice Ngoma.
15. Nassor aadun Nk.
 
Back
Top Bottom