OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Angalau KalaWasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni
Kala Jeremiah
Billnass
Countrywizzy
Fid Q
Joh Makin
Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa baadhi ya Nominees. Hivi kweli wamekosekana rappers wa nguvu kiasi cha kuweka Kala Jeremia, Billnas na Countrywizzy?! Au kuna mtu ameandaliwa tuzo?
Mambo ya kijinga kabisaKumbe country nae ni mwana hippopu!
Daah
Kala amefanya ngoma gani ya ku-deserve hiyo tuzo?Angalau Kala
Tuzo zimetolewa kindugunizationMambo ya kijinga kabisa
Hii nchi haijawahi kuacha kuonesha vituko. Nilitegemea mwana FA kama waziri, msanii pia mdau mkubwa wa MUZIKI WA hip-hop tena akiwa kama Legend angefanya kitu kuwepo na haki na usawa.Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni
Kala Jeremiah
Billnass
Countrywizzy
Fid Q
Joh Makin
Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa baadhi ya Nominees. Hivi kweli wamekosekana rappers wa nguvu kiasi cha kuweka Kala Jeremia, Billnas na Countrywizzy?! Au kuna mtu ameandaliwa tuzo?
Hata Billnass nae duh! Hivi watu wanafanya masihara na hip hop et!Kumbe country nae ni mwana hippopu!
Daah
yani anawekwa kala anaachwa maodoki ? ndio maana nasikiliza tu bolingoWasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni
Kala Jeremiah
Billnass
Countrywizzy
Fid Q
Joh Makin
Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa baadhi ya Nominees. Hivi kweli wamekosekana rappers wa nguvu kiasi cha kuweka Kala Jeremia, Billnas na Countrywizzy?! Au kuna mtu ameandaliwa tuzo?
Maodoki ananyimbo Gani?yani anawekwa kala anaachwa maodoki ? ndio maana nasikiliza tu bolingo
I think alimaanisha msodoki [emoji23]Maodoki ananyimbo Gani?