Tuzo ya Mwanamuziki Bora Hiphop ni dharau kwa wana Hip Hop

Tuzo ya Mwanamuziki Bora Hiphop ni dharau kwa wana Hip Hop

Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni
Kala Jeremiah
Billnass
Countrywizzy
Fid Q
Joh Makin

Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa baadhi ya Nominees. Hivi kweli wamekosekana rappers wa nguvu kiasi cha kuweka Kala Jeremia, Billnas na Countrywizzy?! Au kuna mtu ameandaliwa tuzo?
Tuzo kaandaliwa kala Jeremiah
 
Back
Top Bottom