Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,606
- 1,711
Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu ilizindua Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu mwaka 2022. Tuzo hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwaka 2023 na mwaka 2024 waandishi mbalimbali walishinda Tuzo.
Mwaka 2025 inatarajiwa waandishi wengi zaidi watashindania Tuzo hiyo inayochochea na kuhamashisha uandishi bunifu. Uzi huu ni kwa ajili ya kufahamishana, kujadiliana, na kuhamashina kuhusu Tuzo hii ya aina yake. Makataa ni tarehe 30 Novemba 2024.
Rejea/Marejeo:
I. Makala Mitandaoni:
II. Video Mitandaoni:
III. Mitandao ya Kijamii
Mwaka 2025 inatarajiwa waandishi wengi zaidi watashindania Tuzo hiyo inayochochea na kuhamashisha uandishi bunifu. Uzi huu ni kwa ajili ya kufahamishana, kujadiliana, na kuhamashina kuhusu Tuzo hii ya aina yake. Makataa ni tarehe 30 Novemba 2024.
Rejea/Marejeo:
I. Makala Mitandaoni:
- Tuzo ya Mwalimu Nyerere yazinduliwa, mshindi kubeba Sh10 milioni
- Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere yazinduliwa Dar - HabariLeo
- Prof. Mkenda: Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023
- PROF. GURNAH AWASILI NCHINI, KUSHIRIKI UTOAJI TUZO YA UANDISHI BUNIFU APRILI 13,2024
- Prof. Gurnah kubariki Tuzo ya Mwalimu Nyerere - HabariLeo
- Gurnah awasili tayari kwa Tuzo za Uandishi Bunifu | Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
- Furaha, Hamasa Zatawala Msimu wa Pili wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu - The Chanzo
- Wafanyakazi wa nyumbani, Polisi, wauguzi wajitosa tuzo za fasihi
II. Video Mitandaoni:
-
View: https://www.youtube.com/watch?v=Lzs0igqXX10 -
View: https://www.youtube.com/watch?v=u4ynwAEDf4U&t=7s -
View: https://www.youtube.com/watch?v=kbrP4JhoTBo -
View: https://www.youtube.com/watch?v=v-Cp8Ru0atY -
View: https://www.youtube.com/watch?v=knsJEKiM_hI -
View: https://www.youtube.com/watch?v=4j0QYV6zyrA -
View: https://www.youtube.com/watch?v=KGtQ4iki5Uw -
View: https://www.youtube.com/watch?v=08geUPGCtIk
III. Mitandao ya Kijamii