Tuzo ya uanaharakati bora aliyopewa Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti CHADEMA imetoa jibu

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
888
Reaction score
821
Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.

Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake.

Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha CHADEMA sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi CHADEMA ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.

Ndani ya CHADEMA, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.

Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.

Hii tuzo ambayo Tundu Lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa muda mrefu.

Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .

Nawasilisha tafadhali.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.
 
Kuna drama, propaganda, usanii, uharakati katika CHADEMA. CHADEMA siyo taasisi imara, ndo maana kila MTU ni mropokaji kwenye chama. Chama gn hakina Sera wala dira! Kwa ujumla wapinzani wa tz ni njaa tupu.
 
Kweli kabisa bro! Mi nashangaa , hii nchi tunawanasiasa mahiri hata ndani ya CCM.

Kwanini wasitoke ndani ya ccm wakaanzisha chama mbadara cha siasa?

Kisiwe chama cha kutukana rais, police, mahakama nk. Km vilivyo vyama hivi vilivyopo?

Kikawa chama cha kuibua madudu na mapungufu ya chama kinachotawala??

Tukiwa na chama chenye sera na hoja za kujenga nchi!! Hii nchi tutafika mbali sana.

Mfano nenda marekani, uingereza, ujerumani na kwingine. Vyama vya upinzani vinakuja kwa hoja.

Siyo chama kina viongozi wana ma phd ya matusi kila akiongea, wababe, wanahamasisha maandamano na vurugu utadhani wao wana nyumba mbinguni.

Chama kinatukana kuanzia Rais mpaka Barozi wa nyumba kumi kumi, chama kinaombea mabaya nchi yake, chama kinahujum nchi, chama kinataka nchi itengwe!! Hicho siyo chama ni genge la wahajumu nchi ila wamejificha kwenye siasa.
 
Mmeanza tena. Hivi nyinyi mazwazwa huwa mnakosea wapi mpaka hamitambui kama nyie ni KE.
 
mumeanza tena. hivi nyinyi mazwazwa huwa mnakosea wapi mpaka hamitambui kama nyie ni KE
Punguza povu wewe bi kidude, kwani unakionaje CDM= Chama cha Dili ya Mbowe, 8B?? mmebaki kupiga vigelegele tu ufipa
 
Tumeyasikia maoni yako,kwa hiyo mini ushauri wako.
 
Kuna drama, propaganda, usanii, uharakati katika CHADEMA. CHADEMA siyo taasisi imara, ndo maana kila MTU ni mropokaji kwenye chama. Chama gn hakina Sera wala dira! Kwa ujumla wapinzani wa tz ni njaa tupu.
Bayyo: Hebu jiongeze angalau kidogo utafute ukweli kuhusu ulichosema kwani hauna ukweli wowote. Hiki ni chama chenye katiba na msajili wa vama anakitambua. Usiingie kwenye genge la wapotoshaji.
 
Wewe umeanzisha nyuzi kila jukwaa kutaka usikilizwe habari za ukandamizaji wa wafanyakazi halafu unageukia kuponda watetezi wa utawala wa sheria ambao huwatetea wafanyakazi ...
 
Inanikumbusha ile mbinu anayotumia President Trump inayoitwa Conspiracy theory. Na mtoa mada antumia mbinu hiyo hiyo kuhalalisha umma kwa anachokitaka yeye huku akijua ukweli. Hii ni mbili ya kisiasa uongo unaposisitizwa sana hugeuka kuwa ukweli machoni pa wengi. Naona wachache watajua ni mbinu ya chama tawala kuaminisha umma wa watanzania kuwa CDM sio chama, ni kikundi cha watu fulani, ni mabeberu, nimashoga, wachochezi nakadhalika. Kwa hili wamefanikiwa kiasi kwa wenye ufahamu mdogo ambao ndio wengi katija jamii ya watanzania. Watanzania wengi wangekua na upeo wangeigundua hili and kutaka marekebisho ya KATIBA ili iendane na hali halisi ya dunia na matarajio ya watanzania wa sasa chini ya vyama vingi.
 
Wewe umeanzisha nyuzi kila jukwaa kutaka usikilizwe habari za ukandamizaji wa wafanyakazi halafu unageukia kuponda chadema kinachotetea wafanyakazi ...

Mimi ni mtanzania ambaye sina ushabiki wa kisiasa,
Chadema wakifanya vzr nawasifia na kuwaunga mkono, nanimefanya hivyo sana!

Ccm chama kinachotawala napo nafanya hivyo! Wakifanya vizuri nawapongeza na kuwaunga mkono, wakifanya vibaya kwa maono yangu, nakosoa na kushauri pia.

Hata hilo la chadema, nimelisema nikaeleza na uthibitisho, hilo la wafanyakazi, nimekiomba chama kimshauri mh rais kulingana nanilichoshauri.

Kama unaona nimeiponda chadema sema niwapi nimewaponda kwa kusema uongo, au rudia kusoma uzi huo.
 
Tumeyasikia maoni yako,kwa hiyo mini ushauri wako.

Ushauri wangu! Chadema wachague mojawapo ya haya.
1.wajiweke wazi kuwa nichama cha wanaharakati.
2.watangaze kukikarabati chama kwa kuanza upya kuanzia viongozi wawe wapya mpaka sera au km walikuwa nazo ila waliziacha basi wazirudie.
3.waanzishe chama kipya, sera mpya, katiba mpya na mfumo mpya.
Enzi na enzi.
 
Kulikuwa na mabishano ya mda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.

Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguri kama Dkt. W. Slaa na team yake.

Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha chadema sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi chadema ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.

Ndani ya chadema, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.

Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMO MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.

Hii tuzo ambayo tundu lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa mda mrefu.

Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .

Nawasilisha tafadhri.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.

Huu utoto umetoka nao kwenye ule uzi ukaamua kuja kuuanzishia uzi kabisa!
 
Ushauri wangu! Chadema wachague mojawapo ya haya.
1.wajiweke wazi kuwa nichama cha wanaharakati.
2.watangaze kukikarabati chama kwa kuanza upya kuanzia viongozi wawe wapya mpaka sera au km walikuwa nazo ila waliziacha basi wazirudie.
3.waanzishe chama kipya, sera mpya, katiba mpya na mfumo mpya.
Enzi na enzi.
Kwa kufanya hivyo yale malengo pendwa yatakua yametimia sio.
 
Mimi ni mtanzania ambaye sina ushabiki wa kisiasa,
Chadema wakifanya vzr nawasifia na kuwaunga mkono, nanimefanya hivyo sana!

Ccm chama kinachotawala napo nafanya hivyo! Wakifanya vizuri nawapongeza na kuwaunga mkono, wakifanya vibaya kwa maono yangu, nakosoa na kushauri pia.

Hata hilo la chadema, nimelisema nikaeleza na uthibitisho, hilo la wafanyakazi, nimekiomba chama kimshauri mh rais kulingana nanilichoshauri.

Kama unaona nimeiponda chadema sema niwapi nimewaponda kwa kusema uongo, au rudia kusoma uzi huo.
Sifia chama pendwa
 
Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.

Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake.

Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha CHADEMA sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi CHADEMA ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.

Ndani ya CHADEMA, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.

Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.

Hii tuzo ambayo Tundu Lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa muda mrefu.

Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .

Nawasilisha tafadhali.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.
Chadema ni taasisi ya Mbowe na vibaraka wake
 
Kweli kabisa bro! Mi nashangaa , hii nchi tunawanasiasa mahiri hata ndani ya CCM.

Kwanini wasitoke ndani ya ccm wakaanzisha chama mbadara cha siasa?

Kisiwe chama cha kutukana rais, police, mahakama nk. Km vilivyo vyama hivi vilivyopo?

Kikawa chama cha kuibua madudu na mapungufu ya chama kinachotawala??

Tukiwa na chama chenye sera na hoja za kujenga nchi!! Hii nchi tutafika mbali sana.

Mfano nenda marekani, uingereza, ujerumani na kwingine. Vyama vya upinzani vinakuja kwa hoja.

Siyo chama kina viongozi wana ma phd ya matusi kila akiongea, wababe, wanahamasisha maandamano na vurugu utadhani wao wana nyumba mbinguni.

Chama kinatukana kuanzia Rais mpaka Barozi wa nyumba kumi kumi, chama kinaombea mabaya nchi yake, chama kinahujum nchi, chama kinataka nchi itengwe!! Hicho siyo chama ni genge la wahajumu nchi ila wamejificha kwenye siasa.
Ni kweli na ndio maana huwa wanajikuta wanachinjiwa baharini, halafu wanauliza damu iko wapi?
 
Kweli kabisa bro! Mi nashangaa , hii nchi tunawanasiasa mahiri hata ndani ya CCM.

Kwanini wasitoke ndani ya ccm wakaanzisha chama mbadara cha siasa?

Kisiwe chama cha kutukana rais, police, mahakama nk. Km vilivyo vyama hivi vilivyopo?

Kikawa chama cha kuibua madudu na mapungufu ya chama kinachotawala??

Tukiwa na chama chenye sera na hoja za kujenga nchi!! Hii nchi tutafika mbali sana.

Mfano nenda marekani, uingereza, ujerumani na kwingine. Vyama vya upinzani vinakuja kwa hoja.

Siyo chama kina viongozi wana ma phd ya matusi kila akiongea, wababe, wanahamasisha maandamano na vurugu utadhani wao wana nyumba mbinguni.

Chama kinatukana kuanzia Rais mpaka Barozi wa nyumba kumi kumi, chama kinaombea mabaya nchi yake, chama kinahujum nchi, chama kinataka nchi itengwe!! Hicho siyo chama ni genge la wahajumu nchi ila wamejificha kwenye siasa.
Watu wasioyo na maono huongea mengi yasiyo na tija kutetea ukada na si kingine.
 
Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.

Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake.

Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha CHADEMA sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi CHADEMA ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.

Ndani ya CHADEMA, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.

Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.

Hii tuzo ambayo Tundu Lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa muda mrefu.

Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .

Nawasilisha tafadhali.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.

Umeandika hivi kuwafurahisha wanao kulipa au ndio kweli kwamba huu ndio upeo wako wa kufikiri? Kwa akili hizi na wewe unajinasibu kuwa GT? Simply pathetic
 
Back
Top Bottom