Chama cha Uharakati uwa hakiogopwi na watawala kufikia hatua ya kuharibu uchaguzi .....Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.
Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake.
Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha CHADEMA sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi CHADEMA ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.
Ndani ya CHADEMA, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.
Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.
Hii tuzo ambayo Tundu Lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa muda mrefu.
Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .
Nawasilisha tafadhali.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.
Ni bora kipate usajili wa kuitwa Non Profit Organization na kiwe chini ya Taasisi ya kutetea Haki za Binadamu na kisiwe chini ya Sheria za Tume ya Uchaguzi Cz we tired on events politics. Hakuna Sera ya kitaifa ya Chama kutwa kukurupuka.Tumeyasikia maoni yako,kwa hiyo mini ushauri wako.
Poleni sana,Ni bora kipate usajili wa kuitwa Non Profit Organization na kiwe chini ya Taasisi ya kutetea Haki za Binadamu na kisiwe chini ya Sheria za Tume ya Uchaguzi Cz we tired on events politics. Hakuna Sera ya kitaifa ya Chama kutwa kukurupuka.
Ukiwa mwana CCM akili huwa zinahamia matakoni,? Nimeona hata mtu awe mwerevu vipi akiridi CCM tu akili huamia matakoni! Wewe ni mfano Wake.Ni bora kipate usajili wa kuitwa Non Profit Organization na kiwe chini ya Taasisi ya kutetea Haki za Binadamu na kisiwe chini ya Sheria za Tume ya Uchaguzi Cz we tired on events politics. Hakuna Sera ya kitaifa ya Chama kutwa kukurupuka.
Tundu Lissu siyo Chadema na Chadema siyo Tundu Lissu na wala chama hakikuandikishwa kwa jina la Tundu Lissu.Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.
Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake.
Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha CHADEMA sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi CHADEMA ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.
Ndani ya CHADEMA, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.
Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.
Hii tuzo ambayo Tundu Lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa muda mrefu.
Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .
Nawasilisha tafadhali.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.
Nilimsikia Nyerere siku moja akisema "Katika harakati zetu za kudai uhuru wa nchi za kiafrika tuliunganisha nguvu na wenzetu wenye mrengo mmoja na sisi wa kupinga ukandamizaji wa kikoloni. Wenzetu hao ni wa kutoka Zambia chini ya uongozi wa Keneth Kaunda, Afrika kusini kwa ndugu na rafiki yangu Nelson na Msumbiji kwa Samora Machel".Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.
Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake.
Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha CHADEMA sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi CHADEMA ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.
Ndani ya CHADEMA, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.
Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.
Hii tuzo ambayo Tundu Lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa muda mrefu.
Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .
Nawasilisha tafadhali.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.
Niambie sera na dira ya CCMKuna drama, propaganda, usanii, uharakati katika CHADEMA. CHADEMA siyo taasisi imara, ndo maana kila MTU ni mropokaji kwenye chama. Chama gn hakina Sera wala dira! Kwa ujumla wapinzani wa tz ni njaa tupu.
TAFUTA ILANI YA CCMNiambie sera na dira ya CCM
Mhalalisha haramu ni zaidi ya shetani,sitashangaa kuongea anavyojisikia,ukilipwa kusimamia uovu hakika utahsimamia vyemaNi bora kipate usajili wa kuitwa Non Profit Organization na kiwe chini ya Taasisi ya kutetea Haki za Binadamu na kisiwe chini ya Sheria za Tume ya Uchaguzi Cz we tired on events politics. Hakuna Sera ya kitaifa ya Chama kutwa kukurupuka.
Kwani wasiwasi wako ni nini? Lala mtoto. Ukikua utajua kilio cha Chadema na wapinzani kina maana gani. Sasa hivi unaruhusiwa kulala na kukoroma kabisa, akili bado changa. Wenye akili zilizokomaa ndio hao wanaona kama nchi hatupo sawa. Ukikua tutakuja kukusimulia kwamba kulikuwa na Azory, Mawazo, Saa Nane, Mwangosi, na wengine wengi.Kweli kabisa bro! Mi nashangaa , hii nchi tunawanasiasa mahiri hata ndani ya CCM.
Kwanini wasitoke ndani ya ccm wakaanzisha chama mbadara cha siasa?
Kisiwe chama cha kutukana rais, police, mahakama nk. Km vilivyo vyama hivi vilivyopo?
Kikawa chama cha kuibua madudu na mapungufu ya chama kinachotawala??
Tukiwa na chama chenye sera na hoja za kujenga nchi!! Hii nchi tutafika mbali sana.
Mfano nenda marekani, uingereza, ujerumani na kwingine. Vyama vya upinzani vinakuja kwa hoja.
Siyo chama kina viongozi wana ma phd ya matusi kila akiongea, wababe, wanahamasisha maandamano na vurugu utadhani wao wana nyumba mbinguni.
Chama kinatukana kuanzia Rais mpaka Barozi wa nyumba kumi kumi, chama kinaombea mabaya nchi yake, chama kinahujum nchi, chama kinataka nchi itengwe!! Hicho siyo chama ni genge la wahajumu nchi ila wamejificha kwenye siasa.
Wewe niambie, nimeisoma yote nikatoka kapa. Nisaidie ndugu yangu.TAFUTA ILANI YA CCM
Usipokuwa mnafiki utaona hats mifumo mingine iliyovurugika vibaya kabisa ila mama una malengo mahsusi utalenga kwenye malengo ili kupata matikeo tarajiwa.Kuna drama, propaganda, usanii, uharakati katika CHADEMA. CHADEMA siyo taasisi imara, ndo maana kila MTU ni mropokaji kwenye chama. Chama gn hakina Sera wala dira! Kwa ujumla wapinzani wa tz ni njaa tupu.
Hivi hujui kuwa siasa ni harakati na harakati ni siasa? Usiwe kasukuKulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.
Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake.
Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha CHADEMA sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi CHADEMA ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.
Ndani ya CHADEMA, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.
Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.
Hii tuzo ambayo Tundu Lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa muda mrefu.
Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .
Nawasilisha tafadhali.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.
Hivi hujui kuwa siasa ni harakati na harakati ni siasa? Usiwe kasuku
Hakuna mwanasiasa asiye mwanaharakati. Labda kama hujielewi na hujui unalolisema. Na hakuna mahali popote katika katiba yetu, palipo haramishwa uanaharakati/uanasiasa !!.Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.
Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake.
Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha CHADEMA sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi CHADEMA ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.
Ndani ya CHADEMA, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.
Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.
Hii tuzo ambayo Tundu Lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa muda mrefu.
Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .
Nawasilisha tafadhali.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.
Hakuna mwanasiasa asiye mwanaharakati. Labda kama hujielewi na hujui unalolisema. Na hakuna mahali popote katika katiba yetu, palipo haramishwa uanaharakati/uanasiasa !!.
Tatizo la shule za kata ni pamoja na ufahamu mdogo
Tajiri wa ujinga na upumbavu wa kiwango cha korosho.Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.
Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake.
Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha CHADEMA sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi CHADEMA ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.
Ndani ya CHADEMA, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.
Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.
Hii tuzo ambayo Tundu Lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa muda mrefu.
Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .
Nawasilisha tafadhali.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.
Mada za wafuasi wa Zanzimana zinachekesha kweli , yaani waanzisha mada wa Lumumba IQ zao ni below zero .Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.
Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake.
Baadhi ya watanzania walifikia hatua ya kukifananisha CHADEMA sawa na SACCOS ya mtu, Chama cha mtu au kikundi cha watu, nk.
Kubwa zaidi CHADEMA ilikuja kuitwa nichama cha KIUANAHARAKATI, hii kulingana na siasa ilizokuja kuanza kuzifanya hivi karibuni.
Ndani ya CHADEMA, viongozi,na wanachama, pamoja na washabiki , wamekuwa wakilipinga hilo kwa nguvu zote.
Juzi hapa jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla , wameshuhudia MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA na aliyekuwa mgombea Urais tanzania ndg Tundu A. Lissu akipokea TUZO YA MWANAHARAKATI BORA.
Hii tuzo ambayo Tundu Lissu alikuwa akiifrahia pamoja na wadau wake ambao waliweka mpaka uzi humu nadhani hawakujua kama lilikuwa nijibu la ubishani wa muda mrefu.
Hii haina ubishi kuwa, CHADEMA SIYO CHAMA CHA SIASA TENA, BALI NICHAMA CHA WANAHARAKATI .
Nawasilisha tafadhali.
Enzi na enzi.
Dar es salaam.
Umezungumzia Ccm kuendelea kuongoza, si kwa sababu za sera wala kupendwa na wananchi. Bali ni kwa sababu vyombo vya dola na vya maamuzi ambavyo haviko neutral bali vinavyopokea maelekezo .Wewe ndio utakuwa na elimu ya UPE, umejua kubofya sim ukadhani unajua.
Nahii ndio inafanya ccm iendelee kutawala milele.
NIKUSAIDI baada ya kukuonyesha ulivyo hujui.
CHAMA CHA SIASA NI MUUNGANIKO WA WATU WANAOTAFUTA KUSHIKA DOLA NA SERIKALI. Nahapa ndipo chadema ilipo potelea, waliacha majukumu ya kutafta kushika Dola na serikali wakaanza harakati.
Kama waliamua kuungana na wanaharakati basi wasingewaingiza kwenye chama! Wanaharakati wangeshambulia kivyao, na chadema wakapiga kivyao.
Nandio maana makamu wao kapewa tuzo ya mwanaharakati bora, nasiyo ya mwanasiasa bora.