Tuzo za Afrimma 2018, Diamond aambulia patupu, Wizkid na Fally Ipupa wang'aa

Mbona akifanyaga mazuri huwa huanzishi Uzi wa kumsifia??
Mkuu, uchawi si lazima ushike tunguli hata huu wivu wako kwa mwanaume mwenzako ni "Uchawi" ...pumb*fu zako!
 
Wew umepata fungu la kinyesi?[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yani acha tu mkuu, wakati huo wao hawana hata tuzo ya umbea mtaani kwao.
Cha kusikitisha zaidi Uzi umeanzishwa na Toto la kiume,,I suspect he's a shemale!
Na ukifuatilia zile tuzo sio za kili.
Lakini alishawahi kuchukua.na bado watu walimbeza.kuwa ana bebwa.leo kakosa pia wanaongea.
 
Futa uzi wako huu huna research huna source za habari za kuaminika ila una kiherehere Cha kuchapisha habari Diamond Platinum ft Omarion -african beauty imechukua tuzo ya best collaboration of the year 2018 .Watu wa aina yako mnatakiwa mbaki kule kule Facebook muendeleze udaku wa sekondari kule.
 
Best colaborationa utakua umechukua ww mtoa post?
 
Futeni huu uzi kwasababu ni uzushi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…