1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Nlitaka kushaangaaaTatizo mnafuatlia page za udaku mbona diamond platnumz kapata tuzo.View attachment 891330
Kumbe kabeba,,
Mtoa mada kuwa makini sio unakurupuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlitaka kushaangaaaTatizo mnafuatlia page za udaku mbona diamond platnumz kapata tuzo.View attachment 891330
Mbona akifanyaga mazuri huwa huanzishi Uzi wa kumsifia??Licha ya kutajwa kwenye vipengele 5 msanii maarufu nchini Diamond ameambulia patupu huku tuzo kubwa zikienda kwa Yemi Alade, Wizkid na Fally Ipupa.
Wizkid ameshinda wimbo Bora wa mwaka kupitia hit song yake ya SOCO, Huku Fally Ipupa akishinda tuzo ya artist of year.
Yemi alade amejinyakulia tuzo ya female artist of the year.
Eddy Kenzo kutokana Uganda akishinda best East Africa artist of the year
Ikumbukwe wiki iliopita katika nomination za MTV EMMA 2018 Diamond alipigwa chini licha ya kuonekana anafanya vizuri nchini
Yani acha tu mkuu, wakati huo wao hawana hata tuzo ya umbea mtaani kwao.Watu uwa wanasubiri uanguke tu.
Amna. Mpotezee tu ndo binadamu walivyo.Mbona akifanyaga mazuri huwa huanzishi Uzi wa kumsifia??
Mkuu, uchawi si lazima ushike tunguli hata huu wivu wako kwa mwanaume mwenzako ni "Uchawi" ...pumb*fu zako!
Na ukifuatilia zile tuzo sio za kili.Yani acha tu mkuu, wakati huo wao hawana hata tuzo ya umbea mtaani kwao.
Cha kusikitisha zaidi Uzi umeanzishwa na Toto la kiume,,I suspect he's a shemale!
alikifanyaje mzeeMpaka Bashite aoembe msamaha kwa Chuo cha sanaa Bagamoyo.
Hii comment na hilo pozi la kwenye aviator lol mie ngachoka 😀Na na na naaa badooooo[emoji23]
Platinum ni mkubwa mnoo...hao hakuna wa kubattle nae walikua vivuli tu!Kivipi?
Hapo sawa nimeipata but I believe atakuwa amejifunza kuwa na respect.Platinum ni mkubwa mnoo...hao hakuna wa kubattle nae walikua vivuli tu!