Tuzo za AFRIMMA: Diamond Platnumz amgalagaza chini mhenga aliyesema 'Kitanda hakizai haramu'

Wewe Dada wa wapi .......Inshu kutengeneza mpunga mwingi kuzidi wengine,sio kuwepo muda mrefu,maana muda waliopo hao WAHENGA na muda alionao DIAMOND keshawaacha kwa mbali sana tena sana si kimuziki wala si kwa kipato.
Hahahaha! Muhenga anadai hashindani na mtu,koz mziki biashara,lkn hatuioni hiyo biashara zaid ya kupigwa gape kubwa na yule wa madale kwa kila kitu.
 
Watanzania tusipende kubaguana, Tuishi kwa Amani na Upendo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…