Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
Hahahaha! Muhenga anadai hashindani na mtu,koz mziki biashara,lkn hatuioni hiyo biashara zaid ya kupigwa gape kubwa na yule wa madale kwa kila kitu.Wewe Dada wa wapi .......Inshu kutengeneza mpunga mwingi kuzidi wengine,sio kuwepo muda mrefu,maana muda waliopo hao WAHENGA na muda alionao DIAMOND keshawaacha kwa mbali sana tena sana si kimuziki wala si kwa kipato.