Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hizi tuzo mwanzo zilikuwa na ushawishi sana kipindi hicho.
Kiasi kwamba ukichukua tuzo ya AFRIMMA ni heshima kubwa lakini kwa sasa baada ya wanaija kuona watu wamezipuuzia wakaanza kuvuta attention kwa kuwa nominate wasanii wetu utopolo wa East Africa.
Ili kurudisha hamasa ya kama mwanzo maana zilikuwa zimepotezewa mfano mzuri ni zuchu kuchukua tuzo ya msanii bora chipukizi mbele ya oxlade.
Inawezekana vipi?
Kama vipi huu Uzi uchongesheni na fremu kabisa.