Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Anatupenda kweli naona
Hasa we anakupenda kweliiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatupenda kweli naona
Wahusika wapiiiii"""!!
Si hao akina Diamond na ndugu yake Wema....Mshana alikuwa anakuita huku hasa akaniita mie huku akiwa na nia ya kukuita wewe. Ndio mie nikamuambia kuwa habari za hawa vijana n'tamchosha tu manake sina be wala te....
By the way, Mama diamond is married, yuko busy na mume wake..
Haingii akilini mama diamond kutofurahia mafanikio ya mwanae kisa wema.. Hii picha inaonyesha walikua pamoja..
By the way, Mama diamond is married, yuko busy na mume wake..
Haingii akilini mama diamond kutofurahia mafanikio ya mwanae kisa wema.. Hii picha inaonyesha walikua pamoja..
achani majungu...yasiyokuwa na maana.......
tena haishi wanatafta attention hapo wanataka waandkwe tu cio kingne
Kaolewaa na naniii
Waolewaji wengi sana mjini ila kwa wamama sio mabinti.