Tuzo za FIFA 2018

Tuzo za FIFA 2018

Hapo kwa Hazard sijakuelewa kidogo..
Fifa katika ubora wao kama kawaida.

-Tunzo ya Kipa bora wa mwaka ameshinda courtour Lakini kikosi bora cha mwaka mshindi wa nafasi ya kipa ni DE gear.
-Salah ambaye anacheza namba moja kabisa na Messi amatokea wa tatu kwenye kinyang'anyiro cha uchezaji bora. Lakini kwenye timu ya mwaka hayumo na nafasi yake yupo Messi.
Jamaa hawajielewi ata wanalolifanya kabisa. Hizo tunzo mbili zote zilatakiwa kushindwa na mtu mmoja tu.

-Alafu bado Alves mpaka leo anachaguliwa beki bora ya klia wakati kwenye ramani ya mpira hayumo tena kabisa. Hata uo msimu hakumaliza, Namba yake siyakudumu, Na amepoteza kabisa uwezo wake kwa miaka sasa. Hivi unawezaji acha kumchagua Carvajal au Kimmich.
-Na wamemueka Hazard kama ni midifield wakawaacha De bryune, Kroos. Hivi hazard ni midifield ? au ndo walishalazimisha wamchomeke popote.
 
Back
Top Bottom