TBL ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu wa Tuzo hizi, wamejitoa baada ya kuona waandaaji wamejaa mizengwe, halafu wasanii wengi walikuwa wanazilalamikia kuwa zinafanya upendeleo wa wazi.mpaka mwezi huu wa 8 kimya.. kunani? au ndo tunabana matumizi?
Mkuu vipi ....threads 3 zinazungumzia kitu kimoja ???mpaka mwezi huu wa 8 kimya.. kunani? au ndo tunabana matumizi?