Tuzo za Kili (KTMA) zimefutwa??

Tuzo za Kili (KTMA) zimefutwa??

kichekoh

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2015
Posts
1,376
Reaction score
1,479
Mpaka mwezi huu wa 8 kimya.. kunani? au ndo tunabana matumizi?
 
mpaka mwezi huu wa 8 kimya.. kunani? au ndo tunabana matumizi?
TBL ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu wa Tuzo hizi, wamejitoa baada ya kuona waandaaji wamejaa mizengwe, halafu wasanii wengi walikuwa wanazilalamikia kuwa zinafanya upendeleo wa wazi.
 
walisema hazipo mwakahuu, ndo umekuja mjini?
 
Wazifute tu tuzo zenyewe nyimbo kali za mwaka uliopita zinapigiwa kura mwezi wa saba mwaka unaofuata watu tushasahau,ndo maana wasanii wengi walikuwa wanakimbilia kutoa nyimbo desemba ili tu wapate tuzo.
 
Zifutwe tu... ila dah itakuwa pigo kwa ambao walikuwa wanazitegemea in such a way that atleast mwaka ukiisha ana katunzo ka kili....
 
Walevi wako kwenye mgomo, bia zimepanda bei sana, hawanywi asubuhi. Viroba vimeathiri bia . Mapato ya TBL yameshuka, Tuzo za Kil huenda zisiwepo mwaka huu.

Hayo ni MAWAZO yangu tu jamani
 
Back
Top Bottom