ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,984
- 360
Vipi domo??
Wakuu hivi hii assessment ya kuwapata hao wasanii bora hua inafanyika wapi, lini na nani?
walitoa orodha ya wasanii wote na category zao ili wananchi wapige kura,kura zilkuwa zina asilimia yake bt kulikuwa na kamati maalumu ambao walikuwa na maamuzi ya mwisho